Alikuwa anawauzia kwa bei ya punguzo ?Hapo unaenda kupigwa sema nakupa wazo la mkinga mmoja pale Mbeya , yeye alichofanya alienda kuongea na mama ntilie kama 30 , kila mama ntilie anasema oda yake yaani anaetaka kilo mbili sawa au kilo tatu sawa, mwamkinga alichofanya kila siku anawapigia simu asubuhi ajue oda zao halafu anavijana saa moja asubuhi walishapata mzigo kwa bei ya punguzo na akawa mchele anawauzia msafi kabisa, anawapa mchele asubuhi jioni anapita kukusanya pesa kwa sasa kanunua gari ya delivery na muuzani wa nyama anawapekea pia nyama kwa bei ndogo maana anachukua machinjioni direct na kusupply kwa uaminifu na kwa sasa anafanya vizuri kuliko kawaida,
Alikuwa anawauzia kwa bei ya punguzo ?
[emoji23][emoji23][emoji23] mama ntilie ukamletee maandishi wakati anamarejesho ana michezo kama yote atakutema maana anajua wapo watakao muuzia vizur zaidi yako ww uko na shida ya pesa ndio maana unahisi ni rahisi kufanya hivyo ila tafatari zaidiNamtafuta mtu ninaye mfahamu kwa usalama wa biashara na Kila kitu Kinafanyika kwenye maandishi
Ok , kwahiyo mkuu unanishauri babala ya kuwapa mchele nifanye kama huyo mkinga
[emoji23][emoji23][emoji23] mama ntilie ukamletee maandishi wakati anamarejesho ana michezo kama yote atakutema maana anajua wapo watakao muuzia vizur zaidi yako ww uko na shida ya pesa ndio maana unahisi ni rahisi kufanya hivyo ila tafatari zaidi
Hapo unaenda kupigwa sema nakupa wazo la mkinga mmoja pale Mbeya , yeye alichofanya alienda kuongea na mama ntilie kama 30 , kila mama ntilie anasema oda yake yaani anaetaka kilo mbili sawa au kilo tatu sawa, mwamkinga alichofanya kila siku anawapigia simu asubuhi ajue oda zao halafu anavijana saa moja asubuhi walishapata mzigo kwa bei ya punguzo na akawa mchele anawauzia msafi kabisa, anawapa mchele asubuhi jioni anapita kukusanya pesa kwa sasa kanunua gari ya delivery na muuzani wa nyama anawapekea pia nyama kwa bei ndogo maana anachukua machinjioni direct na kusupply kwa uaminifu na kwa sasa anafanya vizuri kuliko kawaida,
[emoji23][emoji23][emoji23] mama ntilie ukamletee maandishi wakati anamarejesho ana michezo kama yote atakutema maana anajua wapo watakao muuzia vizur zaidi yako ww uko na shida ya pesa ndio maana unahisi ni rahisi kufanya hivyo ila tafatari zaidi
Nimekupa idea yake wewe unaweza kuboresha, yaani unaposikia creative ni pamoja na kuboresha wazo la mtu mwingine lako linakua bora zaidi unapenya kwa mfano mnauza karanga za kukaanga watu wawili mwenzako kwenye karanga anapata product nyingi anauza wewe na sinia moja uliyokaanga mwenzako ana sinia tatu hadi nne moja anakaanga na maganda, nyingine anafunga mbichi, nyingine anaikaanga kawaida na nyingine akishakaanga anatoa ile cover nyekundu inabaki karanga nyeupe tu, akikua zaidi karanga ile ile anaiandaa anasaga unga anapeleka kuuza kama kiungo cha mboga hapo anapeleka sokoni huko, hivo usikopi wazo hilo hilo wewe boresha zaidi,
I thought it would be a simple idea.... kweli nimeamini kitu kinakuwa rahisi na kinaoneka kinawezekana ukijadiri kichwani kwako😆 .Kwenye biashara afanye tafiti lakini suala la kupoteza hilo hawezi kulikwepa hasa kwa biashara mpya kikubwa awe na tahadhari wakati anagawa mzigo mwanzo asigawe mzigo wa mtaji wote anawapa kidogo kidogo hadi baadae wakishaanza kuongea lugha moja anaweza sasa kuongeza ni kwenda kwa tahadhari