Ushauri: Nataka nifungue Consultancy Form

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
288
Reaction score
230
Mm ni kijana wa miaka 23 nmemalza mwaka huu chuo ..I was pursuing bachelor degree in Accountancy at IFM.
Nataka niwe na consultancy firm itakayokua ina deal na hiv vitu.
1.preparation of financial statements
2.Tax issue
3.preparation of bness plan
4.any issue that relate to Accountancy

Changamoto nilizo nazo
1.sina mtaji (I mean hata 100 ya kuanzia)
2.Cna experience (fresh from school)

Nachohitaji kwa wadau
1.yeyote anayefanya hii kazi kunishauri if my idea is viable o najidanganya?
2.mwenye mtaji ili tushirikiane
3.location iwe wap ..naweza kuifungua Arusha au dar es salaam
4.kama huna idea yyte na hii issue tusikatishane tamaa
Nawasilisha wakuu
 
Wazo zuri sana hilo, ngoja wajuzi wa masuala hayo waje kutoa 'madini'
 

Nini maana ya consultancy form?
Wazo lako ni zuri lakini itabidi kwanza ujifunze kuandika kama consultant. Umakini ni muhimu acha hizo (cna, wap,yyte, bness) zina kera sana.
 
kwanza jifunze kuandika ukianzishacho..
firm sio form

Pili wazo zuri ila ku manage kitu bila ujuzi ni kaz na yenyewe..

so ushauri anza kupeleka C.V ako kwenye auditing firms ukipata wakutumie weeee for atlist 55 years( miaka mitano inatosha kujijengea ata kimtaji kidogo cha kuanza, inaku subject pia na connections zaidi na utakutana na wenye ideas kama wewe ili muweze kuungana mfanye moja

kila la kheri

NOTE Kama una degree ya accounts unaazisha consultancy itabid ujue tax au uajir tax analyst kuweza kudeal na tax related issues and tax computations..

so aapo ujiandae kupiga kashort kozi ya tax
 
Mkuu una wazo zuri sana, ila kwa ushauri tu, ukiwa unaandika vitu sensitive kama hivi jaribu sana kutulia na kuacha uandishi wa whattsapp na FB!!!

Ni firm na sio form.
 
Wazo zuri, ila ujuzi ni muhimu. Accounting firm inakuwa registered na NBAA. Atleast directors/partners wawili lazima wawe na CPA na wawe wamepractice for some time.

Nakushauri utafute ajira kwenye auditing/accounting firm upate uzoefu wa angalau miaka 3, wakati huo uwe unafanya saving ili kupata mtaji. At the same time jitahidi kusoma na kupata CPA kwa kufanya evening review classes.

All the best.
 

Afanye kazi 55 years si atakua amekufa kabla hata hajaanzisha hiyo form/firm yake?
 
Fuata ushauri wa malenga wetu amesema kitaalamu sana mtaji ni elimu haswa CPA na uzoefu
 
Kuwa consultant inabidi uwe na experience ya kutosha. Ndio umemaliza shule tuu ingia mtaani ujifunze kwanza...tambaa kisha tembea then kimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…