Ushauri nataka nijitose Mwanza mradi wa SGR

Ushauri nataka nijitose Mwanza mradi wa SGR

Habari zenu wakuu,katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli.Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo dsm.
Wazo zuri sana Ndugu yangu. Na ukifanikiwa huko unaweza pia tujuza namna ya kuomba na sisi Jobless Youth ili tujenge Taifa letu pendwa la la Tanzania. [emoji120][emoji120]
 
Aisee kumbe hata kazi huna mkuu?
Sasa kwanini una misbehave?

Nakushauri!! Usirushe maneno mabaya kwenye mitandao huwezi fahamu nini kinaweza kuja upande wako hasa upande wa vizuri.
 
Kwann usianzie dodoma to singida..nadhan ndo pako hot sahv,lkin n vzr ukawa na skils zinazohitajika huko,km udereva,boiler maker,operator wa mitambo nk,
 
Back
Top Bottom