w1w2w3
Member
- Jul 19, 2017
- 31
- 21
Wadau naomba ushauri nimekuwa nikisave pesa kwa muda mrefu iliniweze kununua gari ambayo itanisaidia kwenye safari pamoja na majukumu ya hapana pale.. NAOMBA USHAURI KULINGANA NA VIGEZO VIFUATAVYO... 1.Ulaji wa mafuta. 2.Upatikanaji wa spea. 3.Uwezo wa kubeba mizigo. 4.Top Speed....... Ushauri wako muhimu!!!