USHAURI NATAKA NINUNUE GARI KUBWA KWA AJILI YA SAFARI. BAJETI 80M.......

USHAURI NATAKA NINUNUE GARI KUBWA KWA AJILI YA SAFARI. BAJETI 80M.......

Oya watoto wazuri wa humu ndani.....mahela hayo
 
Hyo hela mbona unapata ndinga la maana sana...
 
Hyo hela mbona unapata ndinga la maana sana...
Ndo nataka ushauri mkuu, Sababu nilinunua Nissan murano ilinisumbua sana nikaiuza bei ya hasara sasa nataka ushauri ilinisifanye makosa..
 
1.Ulaji wa mafuta - ukipata ya Diesel
2.Upatikanaji wa spea - readily available
3.Uwezo wa kubeba mizigo - ukifunga tela unaweza vuta ata tani 2
4.Top Speed.......Tz tochi baba ila hii unakamua mpaka speed 200 wewe tuu
Budget ikiwa fyongo you may go for Disco 2 or 3 nazo nzuri
 
Asante Mkuu nitajaribu kufuatilia kuhusu land rover discovery
 
Njoo na TShs 70m nikupe Landcruser prado TX ina tumia Diesel then ya 2006 pesa inayobaki utaenda kulipia bima... cc 2970
 
Chukua Land Cruiser 100 Series Turbo Diesel kuanzia mwaka 2001. Ni gari reliable sana popote pale unafika bila wasiwasi
 
Mbona mbali sana, kwan kwanzia 2010 kuja mbele siwezi pata
2010 ni vigumu sana kupata Land Cruiser Vx kwa budget yako. Ila uzuri wa Land Cruiser ni gari imara hata ukichukua ya 2001 poa sana hasa upate ya Diesel
 
Back
Top Bottom