Hivi ulipata mke?Wadau naomba ushauri nimekuwa nikisave pesa kwa muda mrefu iliniweze kununua gari ambayo itanisaidia kwenye safari pamoja na majukumu ya hapana pale.. NAOMBA USHAURI KULINGANA NA VIGEZO VIFUATAVYO... 1.Ulaji wa mafuta. 2.Upatikanaji wa spea. 3.Uwezo wa kubeba mizigo. 4.Top Speed....... Ushauri wako muhimu!!!
PichaHahahahaha ndio nilipata
I would go for thisMkuu chukua discovery 4
MkeoPicha ya nn??
Kuanzia 2001 mkuuKwa by bei naweza kupata ya mwaka gani
Lete milioni hamsini nikuuzie Prado. Ina mwezi mmoja tu hapa Bongo!Wadau naomba ushauri nimekuwa nikisave pesa kwa muda mrefu iliniweze kununua gari ambayo itanisaidia kwenye safari pamoja na majukumu ya hapana pale.. NAOMBA USHAURI KULINGANA NA VIGEZO VIFUATAVYO... 1.Ulaji wa mafuta. 2.Upatikanaji wa spea. 3.Uwezo wa kubeba mizigo. 4.Top Speed....... Ushauri wako muhimu!!!