Ushauri: Nataka nioe Binti wa Kishua

Ushauri: Nataka nioe Binti wa Kishua

Hili la kutengwa linaonekana lipo wazi..
Mkuu me nakushauri mbinu za kivita usiache mali hiyo ikaenda bure . kumbuka zamani mwanamke anaolewa na mtu ambaye siyo kumpenda tu hana hata hisia naye hamjui alafu ndoa ina survive 15 years GB.
Oa weka ndani mzalishe mara 3 alafu tulia akileta kwere mwambie haya msikilize huyo baba yako hana ujanja tena maana ni Double mother .
 
hivi bongo napo kuna wa kishua?
Sasa na wakina Ivanka Trump wasemeje?
we chapa mimba huyo kenge then kaa sikilizia.
 
Huyo mpenzi wako huwezi kumuacha hata ushauriwe vipi humu,kitendo cha kuja tu kuuliza humu pia kinaashiria hata wewe hujiamini na huna maamuzi,

Huyo mpenzi wako anakuacha kisha anakurudia nawe unampokea tu kila mara? ina maana alikufanya wewe ni tairi la spea?

Mwanamke akikupenda hawezi kusikiliza neno la Baba wala la Kaka,na atakua tayari kufanya lolote ili awe nawe,

Nadhana wewe na huyo mpenzi wako mna tabia zinazofanana,hamjiamini na hamna maamuzi.
 
Oa weka ndani mzalishe mara 3 alafu tulia akileta kwere mwambie haya msikilize huyo baba yako hana ujanja tena maana ni Double mother
Ahahaha.. Asante sana kiongozi.. hii kweli Mbinu ya Kivita.. Naenda kua-Apply!
 
hivi bongo napo kuna wa kishua?
Sasa na wakina Ivanka Trump wasemeje?
we chapa mimba huyo kenge then kaa sikilizia.
Ahahaha Ushua ni mazingira kiongozi.. Anyways hili la kwako ni la kuzingatia haswa..
 
Huyo mpenzi wako huwezi kumuacha hata ushauriwe vipi humu,kitendo cha kuja tu kuuliza humu pia kinaashiria hata wewe hujiamini na huna maamuzi,

Huyo mpenzi wako anakuacha kisha anakurudia nawe unampokea tu kila mara? ina maana alikufanya wewe ni tairi la spea?

Mwanamke akikupenda hawezi kusikiliza neno la Baba wala la Kaka,na atakua tayari kufanya lolote ili awe nawe,

Nadhana wewe na huyo mpenzi wako mna tabia zinazofanana,hamjiamini na hamna maamuzi.
Asante kiongozi!
 
Tafuta wa standard mnayoendana then pesa zinatafutwa kijana acha kupenda mteremko
 
Umaskini ni kitu kibaya hakuna anae upenda pia ili usonge mbele ni lazima kuwe na challenges sasa wewe unaonesha kuzikwepa huyo atakufaa ikiwa unataka kufika mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kma ulivyosema ww ni mtu mzm na unaelimu kubwa naamini unauwezo wa kuchambua mambo uyoo mwanamke mwache abaki kama mchepuko wako ukijiingiza apoo ili swala litakuumiza sana hutaweza kujenga familia yenye furaha na kujaliana tafuta mwanamke mnayeendana anayekupenda jinsi ulivyo c kwakile ulichonacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza umemkosea muumba kwa kujidharau.... kama ni wa kishua 6yrs ameshidwa kukumegea hata ka mtaji ??? Hao ni waganga njaa kama unampenda pambana umchukue hata kwa kumjaza kibendi....Maisha yanabadilika any time alafu kaza na huyo huyo .Usikubali kushidwa kirahisirahisi.
 
Mapenz yanauma sana pale wapendanao wanapo achana, m ngeomba umuache tuu, na tafuta mwanamke mwingine, najua itakuuma coz unampenda sana, ila vumilia utamsahau tu.

Uyo anakupotezea mda yy hana nia ya kuolewa na ww kama mnaachana maranyingi hivyo mnarudiana tena. Na akishapata wa kuendana nae anakuacha kbsaa......
 
Habari za siku ndugu wanafamilia wa JF!, Poleni na Majukumu Mazito ya kifamilia na ya kutafuta Mkate wa Kila siku hasa kwa awamu hii ngumu ya 5.
Huyo binti na wewe either of you ni watoto. Kuweni mkifika walau 27 years ndio muanze kuongelea hizo habari.

What i feel its like 2 teenagers thinking of getting married and having kids. Things dont work like that. Mwanamke lazma awe na msimamo juu ya nini anataka.
 
Kama hakuna amani kipindi hiki, usitegemee hiyo amani kuwepo ndani ya ndoa...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
Aisee sasa tunafanyaje mzee wa Mahondaw maana haka katoto nakapenda boss!
 
Usipande dreamliner kama hauna uwezo then kuoa sio lazima
Safi saana boss.. mimi ni miongoni mwa watu ambao hawakuwahi kuwaza kuoa but tangu nikutane na uyu mtoto nimehitaji kuoa!
 
Back
Top Bottom