Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 630
- 1,113
Mkuu me nakushauri mbinu za kivita usiache mali hiyo ikaenda bure . kumbuka zamani mwanamke anaolewa na mtu ambaye siyo kumpenda tu hana hata hisia naye hamjui alafu ndoa ina survive 15 years GB.Hili la kutengwa linaonekana lipo wazi..
Asante sana boss.. mchango wako una faida kubwa sqna kwangu!Tumia akili usitumie hisia, huyo mwanamke hakufai, na yeye anajua kwamba hamfaani, sasa endekeza illusions utajuta mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kiongozi!Huyo mpenzi wako huwezi kumuacha hata ushauriwe vipi humu,kitendo cha kuja tu kuuliza humu pia kinaashiria hata wewe hujiamini na huna maamuzi,
Huyo mpenzi wako anakuacha kisha anakurudia nawe unampokea tu kila mara? ina maana alikufanya wewe ni tairi la spea?
Mwanamke akikupenda hawezi kusikiliza neno la Baba wala la Kaka,na atakua tayari kufanya lolote ili awe nawe,
Nadhana wewe na huyo mpenzi wako mna tabia zinazofanana,hamjiamini na hamna maamuzi.
Huyo binti na wewe either of you ni watoto. Kuweni mkifika walau 27 years ndio muanze kuongelea hizo habari.Habari za siku ndugu wanafamilia wa JF!, Poleni na Majukumu Mazito ya kifamilia na ya kutafuta Mkate wa Kila siku hasa kwa awamu hii ngumu ya 5.