Ushauri nawahi sana kupeez wakati wa sex nifanye nini

Fanya mazoezi uweke akili yako na mwili wako fiti na zingatia ulaji mzuri!
 
unapaswa kwanza uwe unajua hisia unazopata karibu ya kupeez , ndipo sasa ukishazijua kwamba zinakuja jitoe kwa mwenzio taratiibu ukae pembeni pata chupa moja ya maji baridi baada ya dk 5 hv anzeni upya ndoa yenu sasa.
 
Bao la kwanza ni lazima uwahi ndg,ila yanayofuata ndo huwa shughuli pevu
 

hiyo dawa ya asili ni ya mzizi gani au inapatikana wapi mkuu
 
Last edited by a moderator:

k thenx haina nouma mkubwa
 

Mkuu nipe maelekezo jinsi ya kuipata hiyo dawa. Ni pm contact zako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…