Ushauri nawahi sana kupeez wakati wa sex nifanye nini

Ushauri nawahi sana kupeez wakati wa sex nifanye nini

Fanya mazoezi uweke akili yako na mwili wako fiti na zingatia ulaji mzuri!
 
unapaswa kwanza uwe unajua hisia unazopata karibu ya kupeez , ndipo sasa ukishazijua kwamba zinakuja jitoe kwa mwenzio taratiibu ukae pembeni pata chupa moja ya maji baridi baada ya dk 5 hv anzeni upya ndoa yenu sasa.
 
Bao la kwanza ni lazima uwahi ndg,ila yanayofuata ndo huwa shughuli pevu
 
Pia kuna style, mfano style ya kumuinamisha inakuwahisha kwa sbb ya msuguano kwa hyo unaweza usiitumie mwanzo au ukatumia baadae. Mwisho kuna dawa za kupaka kwenye head of penis, kazi yake ni kupunguza sensation so una last longer,kadri mda unavyoenda inaisha. unatumia kwa mda kidogo then akili inazoea kuchelewa kwa hiyo hata ukiacha unakuwa umezoea kuchelewa! Zipo za viwandani na zipo za asili! Za asili unaweza ukapaka leo mechi iko kesho,au ukapaka asubuh mechi usiku,ni ya unga unga unachanganya na asali then unaipaka kwenye head of penis. Unakwenda kwenye dakika 30-45 kwa la kwanza! Haina madhara kwasbb hauinywi. christopher stuat

hiyo dawa ya asili ni ya mzizi gani au inapatikana wapi mkuu
 
Last edited by a moderator:
> Alternative katika hili la hesabu ni kuhesabu kinyume nyume kulingana na uhemaji wako. Mfano 200, 199, 198 mpaka 1
> Itafikia mahala utaweza tambua mwezi wako huwa tayari safari yake imefika wakati count down umefikia ngapi.
> Pia kuzingatia hilo zoezi itakuwezesha wewe kuamua kwamba umalize
> Hivyo mleta mada akicheza vyema na akili yake hilo tatizo atalimaliza ndani ya wiki tu.
> Pia mleta mada aangalie aina za vyakula anavyotumia .

k thenx haina nouma mkubwa
 
Pia kuna style, mfano style ya kumuinamisha inakuwahisha kwa sbb ya msuguano kwa hyo unaweza usiitumie mwanzo au ukatumia baadae. Mwisho kuna dawa za kupaka kwenye head of penis, kazi yake ni kupunguza sensation so una last longer,kadri mda unavyoenda inaisha. unatumia kwa mda kidogo then akili inazoea kuchelewa kwa hiyo hata ukiacha unakuwa umezoea kuchelewa! Zipo za viwandani na zipo za asili! Za asili unawezewa ukapaka leo mechi iko kesho,au ukapaka asubuh mechi usiku,ni ya unga unga unachanganya na asali then unaipaka kwenye head of penis. Unakwenda kwenye dakika 30-45 kwa la kwanza! Haina madhara kwasbb hauinywi. christopher stuat

Mkuu nipe maelekezo jinsi ya kuipata hiyo dawa. Ni pm contact zako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom