Ushauri: Nayateketeza mahusiano na mpenzi wangu kwasababu ya kutingwa na majukumu

Ushauri: Nayateketeza mahusiano na mpenzi wangu kwasababu ya kutingwa na majukumu

Fanya vile nafsi yako inaona tafuta hela alfu uje uzeeke bila familia au tafuta familia uje uzee maskini so akili kichwani mwako tu Mkuu
End justify means! Nitajitahidi kubadilika.
 
Muda unao vizuri tu,
Ukiamka unamtumia msg au unapigia simu,
Muda wa kula iwe breakfast/lunch/dinner unamjibu msg zake,
Umetoka kazini kabla hujalala unampigia atleast dk 5 tu.

Unataka kusema siku nzima kila sekunde unahudumia tu wateja?
Nikichelewa kulala Kama hivi, naamka muda ambao tayari yeye yupo majukumuni, aliniambiya akiwa majukukumuni ni ngumu kupokea sim but nilikuwaga namtumia msg like "hello umeamkaje, habari za majukumu, nakupenda sana, yaani hivyo.
Ila bado hayuko sawa, sometimes huwa nahis ni kwasababu sijaenda kwao Kama alivyotaka.
 
We ng'ombe ni kwamba usingizi umekata una mawazo mengi sababu ya madeni na shida. Kwl watu wengi wanaumwa akili
Mwanaume kuwa na Madeni ni kitu cha kawaida sana, especially mishe ninazofanya mim kuwa na Madeni ni kitu cha kawaida sana, Ila naingiza mkwanja uhakika kiasi kwamba siogopi kukopa.

Achana na presha za jamii forum ya miaka ya 2014, Kama huna content kichwani, just save your energy.
 
Back
Top Bottom