Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Musoma mie naona ni nafuu, haya yako zaidi Tarime na SerengetiUtayakuta pale musoma
Hivi kweli kwa maisha hayo kuna kuonja tamu baadae!!!Siku zote kichungu huishia kuwa kitamu, tena ndoa za aina hii zinadumu sana.
Sisi saivi nguvu za karate zimeisha tunatumia mikongojo.
Umeniona eeeeee, hahahahaahahaahahahaNimecheka sana.
Naona umeamua sasa duh
doh, na hiyo game ya usiku kwenye kusameheana itakuwa na miguno ya maumivu mana lazima tu utakuwa unajitonesha majeraha, nadhani pia utakuwa gogo sababu mgongo unakuuma.Umeniona eeeeee, hahahahaahahaahahaha
halafu usiku tunapeana msamaha kwenye sita kwa sita. hahahahahaahah
😂😂😂😂😂😂😂😂😂doh, na hiyo game ya usiku kwenye kusameheana itakuwa na miguno ya maumivu mana lazima tu utakuwa unajitonesha majeraha, nadhani pia utakuwa gogo sababu mgongo unakuuma.
Nimewaza tu lakini.🤣🤣
Ila kwa nyinyi kidogo hakiwafai mlivo na fujo mtakivunja asee.😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndio maana wanashauri wanandoa walalie kakitanda kadogo sana, vitanda vya sita kwa sita, sijui tano kwa sita ni vya watoto na wageni.
Kakitanda kadogo kanasaidia kurahisisha msamaha, maana mkigusana tu tayariiiiii
hahahahhha, labda hivi vya vyuma. hahahahahaahaahahahaIla kwa nyinyi kidogo hakiwafai mlivo na fujo mtakivunja asee.
Tumekufanya nn ??Utayakuta pale musoma
hahahaahahahah. yaani weee acha tu. ahahahaahahWewe si umefunga ndoa wiki iliyopita mara hii imeshakuwa chungu lol