Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukomplicate maisha kutumika Kwa hyo nembo Ndo heshima yenyeww, Ndo maana Leo kila Barua ya taasisi yoyote ya umma lazma iwe na nembo hyo. Acha ufala basi..View attachment 2218405
Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
Yani akili za watanzania sijui ni kwasbb ya elimu duni au kukosa maalifa, watu wana pambana na bei za mafuta na katiba mpya na leta masuala ya masanamu hiyo yatasaudia je nchi kiuchumi?View attachment 2218405
Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
Wewe zuzu hiyo nembo na bendera ya taifa hata ccm ikihamua kuzitumia kuchambia sisi hatuna tatizo ....kitu tusicho taka ni ufisadi ,rushwa , wizi wa mali za uma , wizi wa rasilimali zetu,nk hayo ndiyo yamsingi kwetuView attachment 2218405
Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
Da!!!! iweke hiyo picha nimeipendaKuna picha moja naikumbuka bibi alikuwa amebeba pembe moja ya ndovu anakimbia kuelekea kulia na bwana kabeba yake anakimbia zake kushoto halafu mwenge umeanguka unaiunguza ngao...ilikuwa inakera kweli ila kulikuwa na ujumbe ndani yake[emoji205]