Nilienda kipindi flani kwny shamba la mzungu mmoja kule Moro nikakuta ng'ombe wake wana tatizo hilo,alichokifanya anamfunga yule ng'ombe kamba fupi kiaina hivi pale kichwani(kupitia kwny mapembe) then anaifunga kwny zizi/nguzo ili kuhakikisha yule ng'ombe hawezi kujikunja mpk akafikia chuchu zake.
Hahah wanamwitaga Mzungu Chokoraa maana ni mswahili swahili flani hivi"dismainda",hahahHeheeh huyu mzungu ana kichaa sio bure
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahah wanamwitaga Mzungu Chokoraa maana ni mswahili swahili flani hivi"dismaind",hahah
Sasa kupata maziwa yenye pilipili na kukosa maziwa kabisa ipi bora?[emoji4]
Haahaa hammy js nsalama kwanzaSasa kupata maziwa yenye pilipili na kukosa maziwa kabisa ipi bora?[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli?Nilienda kipindi flani kwny shamba la mzungu mmoja kule Moro nikakuta ng'ombe wake wana tatizo hilo,alichokifanya anamfunga yule ng'ombe kamba fupi kiaina hivi pale kichwani(kupitia kwny mapembe) then anaifunga kwny zizi/nguzo ili kuhakikisha yule ng'ombe hawezi kujikunja mpk akafikia chuchu zake.
huo ni unyanyasaji pia, ushawahi jipaka pilipili ukapata matokeo yake
Mhh, hapo sijaelewa; anatafutaje minerals toka kwenye kile anachokitoa mwilini mwake?Wapatie minerals za kutosha, nenda kwenye agrivet watakupa!
Hata kuku pia wanakula mayai, shida huwa ni hiyo hiyo!
Milk ni complete food kwa hiyo wanajaribu kupata mineral ya kutosha either kwa kuwapa walambe au uwawekee kwenye maji!
Sent from my iPhone using JamiiForums
May be hujanielewa kweli au uandishi wangu una shida mahali.Mhh, hapo sijaelewa; anatafutaje minerals toka kwenye kile anachokitoa mwilini mwake?
Ahaa sawa mkuu, kwamba kujinyonya ni dalili ya upungufu wa hayo madini joto? sasa nimekuelewa.May be hujanielewa kweli au uandishi wangu una shida mahali.
Iko hivi, mifugo yote inatakiwa ipate chakula chenye virutubisho vyote. Ndo maana wanaoandaa animal feeds wanatumia formula inayohusisha ingredients zote.
Kama mifugo ikikosa madini mwilini mara nyingi inaonesha dalili kama kulamba ngozi ya wanyama wenzake, kujinyonya maziwa na kama ni ndege huanza kudonoa ndege wenzake na wakati mwingine hula mayai ili mradi tu kuzipata hizo minerals.
Kuna namna ya kuwapa hizo minerals ili wasiendelee kuonenesha hizo tabia/dalili za kupungukiwa na madini mwilini.
Tembele maduka ya pembejeo na wataalamu wanaokuzunguka hapo ulipo watakupa mwafaka wa shida kama hizo.
Asante kwa hapa natumai nitaeleweka japo kwa uchache.