USHAURI: Ng'ombe wangu anajinyonya maziwa

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
Naomba ushauri ng'ombe wangu anajinyonya maziwa nikichelewa kumkamua na kuta maziwa yote yameisha nifanyeje asijinyonye? msaada please!
 
Nilienda kipindi flani kwenye shamba la mzungu mmoja kule Moro nikakuta ng'ombe wake wana tatizo hilo,alichokifanya anamfunga yule ng'ombe kamba fupi kiaina hivi pale kichwani(kupitia kwny mapembe) then anaifunga kwenye zizi/nguzo ili kuhakikisha yule ng'ombe hawezi kujikunja mpaka akafikia chuchu zake.
 
Wapatie minerals za kutosha, nenda kwenye agrivet watakupa!

Hata kuku pia wanakula mayai, shida huwa ni hiyo hiyo!

Milk ni complete food kwa hiyo wanajaribu kupata mineral ya kutosha either kwa kuwapa walambe au uwawekee kwenye maji!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilienda kipindi flani kwny shamba la mzungu mmoja kule Moro nikakuta ng'ombe wake wana tatizo hilo,alichokifanya anamfunga yule ng'ombe kamba fupi kiaina hivi pale kichwani(kupitia kwny mapembe) then anaifunga kwny zizi/nguzo ili kuhakikisha yule ng'ombe hawezi kujikunja mpk akafikia chuchu zake.

Heheeh huyu mzungu ana kichaa sio bure

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahah wanamwitaga Mzungu Chokoraa maana ni mswahili swahili flani hivi"dismaind",hahah

Ana akili mbovu sana, aache kutesa wanyama kwa vitu vyepesi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sipati picha ya ng'ombe kujinyonya, tafadhali tuwekee picha
 
Nilienda kipindi flani kwny shamba la mzungu mmoja kule Moro nikakuta ng'ombe wake wana tatizo hilo,alichokifanya anamfunga yule ng'ombe kamba fupi kiaina hivi pale kichwani(kupitia kwny mapembe) then anaifunga kwny zizi/nguzo ili kuhakikisha yule ng'ombe hawezi kujikunja mpk akafikia chuchu zake.
Kweli?
 
Hyo anapungukiwa na madini fuatilia na ili upate ratio nzuri jichanganyie mwenyewe kwa kufuata ratio elekezwa maana siku hizi wataalam wanaganga njaa hawafuati taaluma Sema kuanzia Sasa mpe chumvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapatie minerals za kutosha, nenda kwenye agrivet watakupa!

Hata kuku pia wanakula mayai, shida huwa ni hiyo hiyo!

Milk ni complete food kwa hiyo wanajaribu kupata mineral ya kutosha either kwa kuwapa walambe au uwawekee kwenye maji!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mhh, hapo sijaelewa; anatafutaje minerals toka kwenye kile anachokitoa mwilini mwake?
 
May be hujanielewa kweli au uandishi wangu una shida mahali.

Iko hivi, mifugo yote inatakiwa ipate chakula chenye virutubisho vyote. Ndo maana wanaoandaa animal feeds wanatumia formula inayohusisha ingredients zote.

Kama mifugo ikikosa madini mwilini mara nyingi inaonesha dalili kama kulamba ngozi ya wanyama wenzake, kujinyonya maziwa na kama ni ndege huanza kudonoa ndege wenzake na wakati mwingine hula mayai ili mradi tu kuzipata hizo minerals.

Kuna namna ya kuwapa hizo minerals ili wasiendelee kuonenesha hizo tabia/dalili za kupungukiwa na madini mwilini.

Tembele maduka ya pembejeo na wataalamu wanaokuzunguka hapo ulipo watakupa mwafaka wa shida kama hizo.

Asante kwa hapa natumai nitaeleweka japo kwa uchache.
 
Ahaa sawa mkuu, kwamba kujinyonya ni dalili ya upungufu wa hayo madini joto? sasa nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom