mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
ShukraniAhaa sawa mkuu, kwamba kujinyonya ni dalili ya upungufu wa hayo madini joto? sasa nimekuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukraniAhaa sawa mkuu, kwamba kujinyonya ni dalili ya upungufu wa hayo madini joto? sasa nimekuelewa.
Wapatie minerals za kutosha, nenda kwenye agrivet watakupa!
Hata kuku pia wanakula mayai, shida huwa ni hiyo hiyo!
Milk ni complete food kwa hiyo wanajaribu kupata mineral ya kutosha either kwa kuwapa walambe au uwawekee kwenye maji!
Uko sahihi mkuu!Hili ndio jibu sahihi...Ng'ombe wako ana upungufu wa madini....na hapa nahisi ni Calcium nenda duka la mifugo watakupa jiwe la ng'ombe kulamba, hata kuku akikosa Calcium huwa anakula "mayai" but hapa shida yake ni ile Calcium iliyopo kwenye ganda la yai