Asanteee STUNTER nimependa ushauri wako ntaufanyia kaziTumia Sun Guard, au Zozote zilizoandika Sun hata brand za Nivea ndio naona watu wengi wanazipenda hasahasa wazungu, so wewe ukifika dukani ulizia NIVEA SUN utapata, zinauzwa kutokana na ukubwa wa chupa, chupa kubwa ni kama elf 12, na ndogo ni kama 8000,
pole kwa kuteseka na jua, alafu kingine cha kuongezea uwe na kajitabia ka kuvaa kofia(Hat) au wengine wanaita Cowboy, au kofia yoyote inayokinga jua, zile zinasaidia sana kukinga ngozi ya uso tena zaidi ya hizo lotion, alafu ni anti-old(anti-age) huwa zinapunguza kuzeeka na kukunjika kwa ngozi za uso( ndita)... vipo vingi sana ilaAsanteee STUNTER nimependa ushauri wako ntaufanyia kazi
Unakaa sehemu gani Mwanza?Kama alizoniambia hapo juu stunter si ndio
Hahaha ntajifunza kuvaa hizo kofia,,,ila miwan siwez kabisapole kwa kuteseka na jua, alafu kingine cha kuongezea uwe na kajitabia ka kuvaa kofia(Hat) au wengine wanaita Cowboy, au kofia yoyote inayokinga jua, zile zinasaidia sana kukinga ngozi ya uso tena zaidi ya hizo lotion, alafu ni anti-old(anti-age) huwa zinapunguza kuzeeka na kukunjika kwa ngozi za uso( ndita)... vipo vingi sana ila
Anyway ni ushauri tu wa kuongezea