Ushauri: Ni Lotion gani nzuri inayoweza kukinga mionzi ya jua?

Ushauri: Ni Lotion gani nzuri inayoweza kukinga mionzi ya jua?

Naomba kujua ni lotion gani nzuri ya kukinga mionzi ya jua, jua likiwa kali uso wangu kwenye mashavu nakuwa mwekundu, mi napaka mafuta ya mgando mwili mzima, sasa nimeona nahitaji lotion au mafuta ya kupaka ili ngozi yangu isiharibike.

Tahadhari usinitajie lotion za kujichubua mimi sijichubui na sihitaji,
kama kuna lotion ya kupaka mchana tu niambie au ya kupaka muda wote niambie ni lotion gani nzuri ninunue na nitapata wapi kwa hapa Mwanza.

Asanteni
Samli.
 
Tumia Sun Guard, au Zozote zilizoandika Sun hata brand za Nivea ndio naona watu wengi wanazipenda hasahasa wazungu, so wewe ukifika dukani ulizia NIVEA SUN utapata, zinauzwa kutokana na ukubwa wa chupa, chupa kubwa ni kama elf 12, na ndogo ni kama 8000,
Hii hata wa kiume anatumia?
 
Tumia sunscreen...

download-25j30sr.jpg
Toa ufafanuzi wa hizo namba.

Amandla...
 
Back
Top Bottom