Ushauri: Ni Lotion gani nzuri inayoweza kukinga mionzi ya jua?

Asantee sana nimenunua tayariii ntapaka
 
Nimejifunza kitu hapa asante kwa kunitangulia kuuliza
 

Ukimuuliza mlemavu wa ngozi hasa mwenye elimu ya juu (ingawaje ni ngumu kumtambua bila kumuuliza au kusikia title yake lakini wapo wenye title kubwa kwenye ngazi za uwaziri) ambaye ukiangalia ngozi yake ni sawa na asiyekuwa mlemavu basi muulize anatumia lotion gani nadhani itakusaidia.

Kitu kingine kula matunda aina yote regularly na mboga za majani kwa wingi lotion tosha bila chemicals ambazo ni artificial; pia usisahau maji ya kunywa ya kutosha.
 


Kama wewe ni mweusi yaani Mwafrika nature imetoa kinga nzuri ya kuwa na ngozi nyeusi hivyo hauhitaji kemikali nyingine zilizotengezwa na Binadamu, ila kama wewe una ngozi nyeupe yaani asili yako ni northern hemisphere basi unahitaji kemikali maalumu ili kujikinga na mionzi ya jua, vinginevyo kwa watu mweusi hatuhitaji!
 
Shukran nimekupata
 
Shukran nimekupata
 
Nunua pama la cowboy na mwamvuli utaokoa pesa nyingi itasaidia sana
 
Zipo Lotion maalum za kukinga athari za mionzi ya jua, tatizo hazipatikani kwa urahisi hapa Tanzania na zikipatikana bei huwa ni kubwa. Huwa zipo za strength tofauti tofauti sana. Hapo pia panahitaji umakini au ushauri kutoka kwa mtaalam wa Afya kwenye masuala ya ngozi.

Kwa kukurahisishia tumia lotion hii NIVEA LOTION SPF 50+ hii inapatikana kwenye Maduka ya dawa mengi hususani yale makubwa na hata baadhi ya super markets.
 
Nunua pama la cowboy na mwamvuli utaokoa pesa nyingi itasaidia sana
Haswaa. Kofia pana(Cowboy hat) ndio jibu zuri sana. Mafuta(Lotion) ni hatua ya mbali sana, yatumike kama mbadala tu kama hatua zingine za kuepuka mwangaza mkali wa jua kali zikishindikana.
 
Shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…