Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

Bajaj ya matairi manne
 
Hivi kutuelezea kuwa umejenga mjini na kijijini ina uhusiano gani na hitaji lako la gari?

wewe unadai ni mkubwa ila bado mshamba, acha ushamba halafu jiamini, haya sasa ndio nakushauri, nenda kanunue VW,achana na hizo toys ulizoorodhesha hapo.
We ndio unaweza kuwa mshamba na Iq Yako, Kuna nyuz humu watu walishauri hayo kwanza. Yeye kawahi kujibu
 
ukishakua tyr nicheki nipo hapa be forward kwa muda wa miaka 4 naacha maoni ya watu uyafanyie kazi ukishapata gari karbu dm mkuu.
Atapata faida Gani akija kwako pm badala ya kwenda Moja kwa Moja ofisini kwa wahusikaΒΏ?!
 
Chukua hiyo Suzuki Grand Escudo angalia Be Forward Wana Bei poa
 
Hivi kutuelezea kuwa umejenga mjini na kijijini ina uhusiano gani na hitaji lako la gari?

wewe unadai ni mkubwa ila bado mshamba, acha ushamba halafu jiamini, haya sasa ndio nakushauri, nenda kanunue VW,achana na hizo toys ulizoorodhesha hapo.
Pamoja na ushamba wake lakin hayo aliyoyaeleza wengi yanatukabili
 
Natumaini ulinunua Rav 4 New Model
 
Mpe namba za office uliyotumia mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mpe namba za office uliyotumia mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu niliagiza kwa kutumia hawa vijana wenye makampuni. Nilihangaishana nao balaa na gari sikuichukua kwa kuwa niliyoagiza na iliyoletwa ni tofauti ingawa walinirudishia hela yangu kasoro milioni moja ambayo nadai mpaka leo...

Kwa hiyo nasema namba sitoi vijana wengi ni matapeli.
Nadhani nishafungua uzi kuhusu utapeli huo.

Nenda yard au agiza mtandaoni mwenyewe.
Asante.
 
Shukrani mkuu. Vijana wa ovyo sana hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…