JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Sawa. Wanunue tu.Kuna watu wanaweza maliza hata mwaka mzima hawajafika huko porini unaposema wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Wanunue tu.Kuna watu wanaweza maliza hata mwaka mzima hawajafika huko porini unaposema wewe.
Dah[emoji3][emoji3]Kuna watu wanaweza maliza hata mwaka mzima hawajafika huko porini unaposema wewe.
Nafikiria kuichukua hii gari naomba kama una uzoefu nayo unipe ABC zake.Go for Volvo Xc90
Mkuu, hizi gari porini huko usiombe yakukute. Ni nzuri sana ila mazingira yetu hayafai kabisa ukipata hitilafu porini.
Kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kuvuta JEEP grand cherokee 4.7cc V8 ila sitaingia nalo porini.
TRUE.Hizo chuma zinauzwa Pesa mbuzi sana hasa ukilikuta la petrol hata ushuru wake TRA upo kawaida ila ndio uwe na kisima cha mafuta nyumbani...
Ni chuma zina nguvu sana....
Kama mafuta siyo tatizo.... go for it... Utaenjoy....
JEEP bei yake rafiki kidogo.
Utunzaji...Yes kwa za zamani. Ni roho ya paka. Kuna ndugu yangu alinunua extrail new model ina namba D . saivi iko nyanga nyanga. Rav 4 namba c mpaka sasa inadunda
Escudo Grand watumie Be Forward no stress. Unalipia kwenye account Yao ya CRDBNawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu.
Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri.
Kiukweli mi mgeni sana wa magari hata kuendesha si mtaalam sana ila naweza sema sijakaa na gari tu nimesota kwa miaka 8 nasuhua bench kutimiza malengo mengine (nyumba ya wazazi kijijini nimemaliza na nyumba yangu mjini nimemaliza) nadhani mnajua ile hustle ya kuwa kichwa cha familia na umetoka kwenye umasikini wa kutupwa na baada ya kusoma ukoo mzima unakuangalia...😀😀😀😀.
Mwaka huu nimejipinda nami nivute gari ya maana kidogo kwa matumizi ya familia na route ndefu km kwenda kijijini huko... (Naishi kanda ya kaskazini kwa rafiki zangu akina Mangi huku ila mimi ni mnyantuzu(Msukuma) kutoka kanda ya ziwa huko😀😀😀
Bajeti yangu ya gari inaanzia 30M-40M hivi, sasa ushauri nichague gari gani kati ya hizi?
1.Toyota
-RAV 4 New Model
-Lenus RX
-Harrier (Hapana nakubali ushauri)
-Vanguard (Hapana nakubali ushauri)
2.Nissan
-Muranno
-QSHANAI
-Dualis (hapana ila nakubali ushauri)
-X-Trail (hapana ila nakubali ushauri
3. SUZUKI
-Escudo Grand (Seat 7)
-Escudo (Seat 5)
Bajeti yangu inaangukia kwenye mid/lower SUV cars.
Kingine nataka kuagiza kutoka Japan (kulingana na maoni ya humu) ilq kuna jamaa yangu nimemshurikisha akasema bora nichukue yard but mimi nasita sababu ya kupata uzoefu wa yard kupitia jukwaa hili.
Pia naukiza ni kampuni gani nzuri kuagiza kati ya hizi
1.Be forwarded
2.SBT Japan
3.Enhance Japan
Natanguliza shukrani wa ushauri wenu na asanteni
Gari ni matunzoUtunzaji...
Nawafahamu watu wana Xtrail number B....
Bado sijanunua, baada ya kukaa muda nikagundua hizo zote nilizozisema hamna hata moja ambayo ambayo ingefit matakwa yanguEscudo Grand watumie Be Forward no stress. Unalipia kwenye account Yao ya CRDB
Nilikuja kubadili mawazo na sikuchukua hata moja hapoNawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu.
Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri.
Kiukweli mi mgeni sana wa magari hata kuendesha si mtaalam sana ila naweza sema sijakaa na gari tu nimesota kwa miaka 8 nasuhua bench kutimiza malengo mengine (nyumba ya wazazi kijijini nimemaliza na nyumba yangu mjini nimemaliza) nadhani mnajua ile hustle ya kuwa kichwa cha familia na umetoka kwenye umasikini wa kutupwa na baada ya kusoma ukoo mzima unakuangalia...😀😀😀😀.
Mwaka huu nimejipinda nami nivute gari ya maana kidogo kwa matumizi ya familia na route ndefu km kwenda kijijini huko... (Naishi kanda ya kaskazini kwa rafiki zangu akina Mangi huku ila mimi ni mnyantuzu(Msukuma) kutoka kanda ya ziwa huko😀😀😀
Bajeti yangu ya gari inaanzia 30M-40M hivi, sasa ushauri nichague gari gani kati ya hizi?
1.Toyota
-RAV 4 New Model
-Lenus RX
-Harrier (Hapana nakubali ushauri)
-Vanguard (Hapana nakubali ushauri)
2.Nissan
-Muranno
-QSHANAI
-Dualis (hapana ila nakubali ushauri)
-X-Trail (hapana ila nakubali ushauri
3. SUZUKI
-Escudo Grand (Seat 7)
-Escudo (Seat 5)
Bajeti yangu inaangukia kwenye mid/lower SUV cars.
Kingine nataka kuagiza kutoka Japan (kulingana na maoni ya humu) ilq kuna jamaa yangu nimemshurikisha akasema bora nichukue yard but mimi nasita sababu ya kupata uzoefu wa yard kupitia jukwaa hili.
Pia naukiza ni kampuni gani nzuri kuagiza kati ya hizi
1.Be forwarded
2.SBT Japan
3.Enhance Japan
Natanguliza shukrani wa ushauri wenu na asanteni
Uliamua kuchukua ip mkuu? Na experience yako kwenye hiyo gari?Nilikuja kubadili mawazo na sikuchukua hata moja hapo
Hii ya mwaka gani mkuu?
Dah, kali sanaaa, nasubiria feedback baada ya miezi kadhaa ya kulipush, uje unimotivate mkuu2007 mkuu