Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Ndugu walinishauri niombe ajiraKwani ulilazimishwa kuomba kazi au kuna mtu aliomba kazi kwa niaba yako pasipo wewe kujua?
Haya sasa umepata!Ndugu walinishauri niombe ajira
Kumbuka pia hizo biashara sio zake.Mkuu kasimamie biashara
Nenda kwenye ajira serikalini kwa minajiri ya kupata uzoefu wa kazi na kupata connection zitakazokusaidia baadae kusimamia vyema biashara hizo. pia kuna discipline flani ya pesa na kazi utaipata kazini na unaweza kuwa unazisimamia biashara hizo ukiwa bado kaziniHabari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Kama ndugu zako walikupa huo ushauri sasa unakuja kwetu kuomba ushauri wa nini wakati tayari una ndugu zako ,hayo mambo ya ndugu sisi hayatuhusu naomba ukamalizane na nduguzo ,hayo mambo yenu wana nduguNdugu walinishauri niombe ajira
Wazazi wazazi wazazi. Wewe unamiliki Nini?Habari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Habari za asubuhi? Nishaurini katika hili nimepata ajira serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Kwahiyo kwenye hiyo dispensari ya familia hakuna security ???Habari za asubuhi?
Nishaurini katika hili nimepata ajira Serikalini Upande wa afya clinical officer soon tunatakiwa kuripoti kazini .
Upande wa pili wazazi wanamiliki pharmacy 2 na maduka mawili ya jumla ya dawa na dispensary moja , wazazi hawataki niende kwenye ajira ya Serikalini wanataka nisimimamie biashara zao lakini ndugu wamenishauri niende kwenye ajira serikalini kwa sababu serikalini kuna security.
Nisaidieni ushauri mdogo wenu ktk hili .
Ktk familia tupo watoto 2 tu , mdogo wangu bado anasoma.umri nina miaka 24
Halafu leo wanakushawishi usiende kuripoti..mnatujazia saver tu na ....Ndugu walinishauri niombe ajira
Swali la msingi sana, coz now sio kama enzi za jk za kupangiwa kituo cha kazi moja kwa moja bila kuomba.Kwani ulilazimishwa kuomba kazi au kuna mtu aliomba kazi kwa niaba yako pasipo wewe kujua?
Ajira huwa zinamwisho,wasikilize wazazi kama ni muhitimu vizuri ukasimamie hiyo biashara ya kwenu kwani kuna mapungufu yatakuwepo,wewe kaongezee ufanisi ili pia uajiri na wenzako.Ua sio ndugu zangu?!Habari za asubuhi?