Hiyo I'd jamani lol
Hiyo I'd jamani lol
Valeee..... yaani alichouliza hujaona ila ID ....
Ahahaaa,nadhani hiyo I'D yake ni chanzo cha tatizo lake.
Mama upoo??? Embu tumsaidie huyu mtanzania mwenzetu!!!Hiyo I'd jamani lol
yani nikipiga kimoja tu mashine inalala zzzzzzz nfanyaje niweze enda round ya pili hapohapo mke wangu naye afurahie tendo la ndoa
Ndio hapo sasa eti wengine waongeze wake nguvu zenyewe za soda
Mama upoo??? Embu tumsaidie huyu mtanzania mwenzetu!!!
Ushawahi kujiunga na CHAWAPUTA??? na kama uliwahi ushajitoa???
Vipi maandalizi kabla ya mechi??? Romance and the alike?? Je mnafanya?? Au unamparamia tu kama kuku??
Nb. Angalia lishe yako...machips na mafanta punguza.
Atakua anaparamia kama kuku huyu. Ajipime kwenye maandalizi na concentration wakati wa kula