Ushauri: Nifanyaje niweze kupiga bao mbili au tatu?

Ushauri: Nifanyaje niweze kupiga bao mbili au tatu?

Madhara ya chipsi mayai

Wanaume: Chipsi mayai naenda kupiga usalama wa taifa

Wanawake: Ukipenda chipsi mayai upende na mimba
 
Khaa!! Hii mbona simple tu. Game haihitaji msuli sana wala busta bali ni kujijenga kiakili tu. Fanya hivi, amka asubuhi na mapema kisha zifanye kazi zako zote za siku hiyo kwa ufanisi mkubwa.

Pata muda wa kupanga kazi zako za kesho vizuri kisha wahi nyumbani ukiwa stress free man, ukifika toa msaada wa maandalizi ya dina kula chakula naye katika mwanga hafifu wa taa au mshumaa.

Oga nae kwenye mwanga hafifu huku mkinywa mvinyo/chai/maziwa. Kisha ingia kazini halafu tuletee mrejesho. Sasa wewe utawezaje kupiga bao zaidi wakati hata zege la leo ofisini hukulimaliza?

Ukipiga moja tu akili inahamia kwenye viporo vyako vya kazini bana:yawn:
 
Tatizo sio nyeto bali maandalizi na lishe ndo ishu........ukiwa na papara sana ndo inakuwa hvyo......muandae....mfanye achoke kabla hata hujaanza kazi...utajikuta ukipiga moja ye hataki tena.........wakat mwingine nyingi sio ishu............unaweza ukaenda hata 6 na bado demu akakudharau kesho...muhimu ni kugusa angle sahihi ili alegee na kuchoka kabla ya shughuli
 
Acha kupiga punyeto
Khaa!! Hii si sahihi bana unapotosha. Game yoyote inataka mazoezi ili ujifunze jinsi ya kutumia pumzi yako vizuri, kubalance energy yako na kucontrol upigaji wa mashuti vile unavyotaka. na hii ndiyo njia pekee ya kufanya mazoezi hayo. Mbona mabondia wanapiga punchin bags kabla ya game???. Tujifunze bana
 
Madhara ya chipsi mayai

Wanaume: Chipsi mayai naenda kupiga usalama wa taifa

Wanawake: Ukipenda chipsi mayai upende na mimba

Mh! Apo kwa wanawake ukipenda chips mayai upende na mimba sijaelewaa. Nipe mwanga kidogo apo
 
Hizo bao 3 chache nakupa dawa ya kupiga 5....kunywa konyagi bapa 3,zanzi chupa 2,sminorff 4,gordons 3 usile chakula siku hiyo lazma upige bao 6 na heshima itarudi
 
Tatizo sio nyeto bali maandalizi na lishe ndo ishu........ukiwa na papara sana ndo inakuwa hvyo......muandae....mfanye achoke kabla hata hujaanza kazi...utajikuta ukipiga moja ye hataki tena.........wakat mwingine nyingi sio ishu............unaweza ukaenda hata 6 na bado demu akakudharau kesho...muhimu ni kugusa angle sahihi ili alegee na kuchoka kabla ya shughuli

100% sure.
 
asanteni kwa ushauri nawapenda sana
 
1. Blueberry


Blueberry ni matunda yanayosaidia sana
kuongeza nguvu za kiume, wengi hupendelea
kuyaita ‘viagra’ asilia kutokana na kazi
inayoifanya mwilini. Blueberries ina
virutubishi vinavyoimarisha mishipa ya damu
na kusaidia mzunguko mzuri wa damu
mwilini. Damu ndio kila kitu katika nguvu za
kiume. Vilevile, blueberries zina nyuzinyuzi
( fiber ) ambazo husaidia kuondoa kolesteroli
(Cholestrol) mwilini kabla hazijanganda
kwenye mishipa ya damu. Kuwa na mzunguko
mzuri wa damu husaidia mwanaume aweze
kuhimiri mapenzi wa muda mrefu zaidi.

2. Mtini (Figs)


Mtini (figs) ni matunda yenye kiwango
kikubwa cha amino asidi, ambayo ni kiungo
kikubwa katika kuzalisha homoni mwilini.
Homoni ndio kishawishi cha nguvu za kiume
mwilini. Kukosa amino asidi huweza
kusababisha kukosa hamu ya mapenzi au
kupungukiwa na nguvu za kiume.

3. Chaza/Kombe wabichi (Raw Oysters)


Chaza wana kiwango kikubwa cha madini ya
zinc. Madini za zinc hutumika katika
utengenezaji wa homoni ya testosterone,
shahawa na mbegu za kiume . Uwingi wa
uzalishwaji wa testosterone mwilini huathiri
pia hamu ya mapenzi na nguvu za kiume –
ikiwa kidogo huondoa hamu, ikiwa nyingi
hupelekea hamu na nguvu zaidi.
Kupungukiwa kwa madini ya zinc
husababisha kupungua kwa nguvu za kiume,
udhaifu (uhanithi), na kushuka kwa kiwango
cha uwezo wa kufanya mapenzi.

4. Karanga


Karanga ni chanzo kikubwa cha kujenga
protini mwilini. Karanga huwa na kiwango
kikubwa cha amino asidi ambayo husaidia
kuweka vizuri mfumo wa damu, hivyo
kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha
ufanyaji mapenzi.

5. Vitunguu saumu


Kitunguu saumu kina allicin, kiambato
kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu
kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko
mzuri wa damu kwenye uume ni sababu
kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya
mapenz

6. Ndizi


Kuwa na stamina ni muhimu katika ufanyaji
mapenzi. Ndizi ni chanzo kikubwa cha
vitamin B ambayo husaidia sana katika
kuongeza stamina na nguvu mwilini hasa
wakati wa kufanya kazi nzito. Ndizi ina
kimeng’enyo cha Bromelain ambacho
huongeza nguvu za kiume, ashki ya mapenzi
( libido).

7. Chocolate


Chocolate inasaidia kuongeza stamina
kwenye kufanya mapenzi kwasababu ina
viambato vya phenylethylamine na alkaloid .
Phenylethylamine ni kiambato
kinachopelekea kujisikia vizuri, hasa wakati
wa kufanya mapenzi na alkaloid huongeza
stamina na nguvu wakati wa mapenzi.
 
Rekebisha mfumo wa maisha yako. Vyakula. Kisaikolojia. Mazoezi. Utatisha sana
 
Wacha kula chipsi mayai

Kula mihogo mibichi
Hakuna kitu kama hicho,watu sijui huu uzushi na uongo mnautoa wapi, mara mayai ya kware,mara mihogo,mara ngisi sijui pweza.

Basi ingejua hivyo wanaume wa pwani wangekua na nguvu nyingi sana maana wananakula sana hayo makitu.

HAYO MAKITU HAYAONGEZI NGUVU ZA KIUME.
 
Madhara ya chipsi mayai

Wanaume: Chipsi mayai naenda kupiga usalama wa taifa

Wanawake: Ukipenda chipsi mayai upende na mimba

Mkuu, naomba ushahidi wa kidaktari unaoonesha jinsi chipsi mayai inavyoweza kumaliza nguvu za kiume.
 
nahic utakuwa na likitambi hapo nd shida sasa kupata hizo nguv ni shughuk pevu
 
Back
Top Bottom