Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
Mimi ni introvert nisiyejichanganya sana na watu,huwa siendi club wala sehemu zingine za starehe muda wangu mwingi huwa natumia kuongeza knowledge sababu kazi yangu inahitaji creativity ya hali ya juu hivyo hunifanya niwe bize.
Sasa ifikapo X Mass nataka nijaribu kuhudhuria kumbi ya starehe na ikiwezekana nipate pisikali ambayo nitajumuika nayo katika kula bata lakini sijui nitumie mbinu nitumie mbinu gani kufanikisha lengo langu hivyo.
Nahitaji ushauri wenu wadau.