USHAURI: Nifanye nini ili nipate mpenzi ifikapo siku ya Christmas?

USHAURI: Nifanye nini ili nipate mpenzi ifikapo siku ya Christmas?

Sio kulewa mkuu Heineken tatu tu ,unakuta kichwa kimesha changamka vya kutosha kujichanganya.
Heineken sio kilevi ile ni starter!, ma whisky, brandy, tequila,rum, vodka hizi ndio ndude zakulewea!.
Heineken si unalia hata mkate zile acheni masihara!
 
Heineken sio kilevi ile ni starter!, ma whisky, brandy, tequila,rum, vodka hizi ndio ndude zakulewea!.
Heineken si unalia hata mkate zile acheni masihara!
Hizo mimi napiga 20 najiona napaa kabisa , halafu pombe kali wala hazinisumbui kama bia sema nikizinywa nakula mno kitu ambacho sikitaki mkuu.
 
Hizo mimi napiga 20 najiona napaa kabisa , halafu pombe kali wala hazinisumbui kama bia sema nikizinywa nakula mno kitu ambacho sikitaki mkuu.
tatizo mnafakamia tu pombe, pombe zimegawanyika kuna za ku digest na appetite!. mtakuja kutoka ulimi na pombe usipoiheshimu nayenywe hautakuheshimu ndo utasikia mtu kaanguka mtaroni n.k
 
tatizo mnafakamia tu pombe, pombe zimegawanyika kuna za ku digest na appetite!. mtakuja kutoka ulimi na pombe usipoiheshimu nayenywe hautakuheshimu ndo utasikia mtu kaanguka mtaroni n.k
Kwenye kali kuna Brandly , gin, vodka na whiskey ipi ni ipi mkuu?
 
M
Mimi ni introvert nisiyejichanganya sana na watu,huwa siendi club wala sehemu zingine za starehe muda wangu mwingi huwa natumia kuongeza knowledge sababu kazi yangu inahitaji creativity ya hali ya juu hivyo hunifanya niwe bize, sasa ifikapo X mass nataka nijaribu kuhudhuria kumbi ya starehe na ikiwezekana nipate pisikali ambayo nitajumuika nayo katika kula bata lakini sijui nitumie mbinu nitumie mbinu gani kufanikisha lengo langu hivyo nahitaji ushauri wenu wadau.
imi ni introvert kama wewe aisee introvert mungu aingilie kati huu ni zaidi ya ugonjwa wa ukimwi wazee usiombe kuwa introvert
 
Kwa hii hali yangu ya introvert ningekuwa hoye haye sijui ingekuwaje ila mungu anakupa mtihani ambao unaweza kuukabili
 
Wanasemaga kuna mstari mwembamba sana kati ya introverts na uoga/kutojiamini.
Unaweza kudhani wewe ni introvert kumbe hujiamini kutokana na sababu za kimazingira uliyokulia.

Kama huna furaha na unachokifanya huo uintrovert wako una walakini..
 
Back
Top Bottom