Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
Mhmmmmpisi umeshanipata,,we tafuta eneo tukaenjoy
hii nayo ni aina ya uchawi hebu pisha hukoMhmmmm
Mwanangu mbona mimi ni introvert ila batani zikisha fika bia tatu tu bata zinakuja zenyewe mkuuπ€introvert akitamka "kula bata" mimi kichwani inakuja picha ya Fanta orange!!π€£
Mambo ya chini ya kitovu hayakupiti yaniπ πhii nayo ni aina ya uchawi hebu pisha huko
Kula bata na vitovu wanajuana kumbeπMambo ya chini ya kitovu hayakupiti yaniπ π
Chini ya kitovu kumeungana na bata kama samaki na majiπ π π πKula bata na vitovu wanajuana kumbeπ
Funga kibunda kama cha mil 3 hivi weka kwa pochi, ukilipa chochote hata kama ni cha buku toa pesa zote chomoa buku halafu lipa , watajileta tu.
Note: hakikisha unafanya hilo zoezi mbele ya macho ya warembo .
Kumbe mashuhuda mpo kabisaπ π πHii gia iliwahi kunisaidia sehemu, unatoa zote alafu unatarget akiwa anakuangalia bila kupepesa macho
bia gani unakunywa mpk tatu tu uwe umeshalewa..?Mwanangu mbona mimi ni introvert ila batani zikisha fika bia tatu tu bata zinakuja zenyewe mkuuπ€
Live bila chenga, πππππππKumbe mashuhuda mpo kabisaπ π π
Sio kulewa mkuu Heineken tatu tu ,unakuta kichwa kimesha changamka vya kutosha kujichanganya.bia gani unakunywa mpk tatu tu uwe umeshalewa..?
Mxiuuuu,,hebu nimalizane na mleta bata Xmas kwanzaChini ya kitovu kumeungana na bata kama samaki na majiπ π π π
Kwamba mimi siliwezi bata hilo?Mxiuuuu,,hebu nimalizane na mleta bata Xmas kwanza