Ushauri:nifanyeje ili nifaulu vizuri pcb?

Ushauri:nifanyeje ili nifaulu vizuri pcb?

jakaeama

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
23
Reaction score
2
Nitumie njia zipi ili nifaulu pcb vizuri(nisomaje,ratiba ya kujisomea ikaaje,nieleweje topics kiurahisi zaidi nk)
 
Nitumie njia zipi ili nifaulu pcb vizuri(nisomaje,ratiba ya kujisomea ikaaje,nieleweje topics kiurahisi zaidi nk)

Nimuhimu ukawa na vitabu vya masomo yako kisha panga muda wa kusoma kila somo then solve paper!
 
hongera xana kwanza kwa kuchagua/kuchaguliwa pcb karibu kwenye ulimwengU wa wanabiologia.
ndugu pcb co lele mama kupata division 1 au 0 ni kitu cha kawaida inategemea na ww mwenyewe.
nakushauri nunua biological science (BS), CHAND chemistry na physics then tafuta past paper za kutosha then piga msuri wa maana co kuuza sura. i hope u gonna makeQUOTE=jakaeama;6839919]Nitumie njia zipi ili nifaulu pcb vizuri(nisomaje,ratiba ya kujisomea ikaaje,nieleweje topics kiurahisi zaidi nk)[/QUOTE]
 
jitahidi kuisoma sana biology na physics,chemia simple!usikremishe tu jitahidi kuelewa na hakikisha kila siku iendayo kwa mungu soma physics na solve BaM kidogo!usipende sana chini,fanya tuition nyingi uwezavyo kukava topic nyingi,tumia sillabus wakati wa kusoma!
 
Nitumie njia zipi ili nifaulu pcb vizuri(nisomaje,ratiba ya kujisomea ikaaje,nieleweje topics kiurahisi zaidi nk)

Mkuu PCB ni combination ambayo naiheshimu sana kutokana na kusoma karibu masomo yote ya sayansi, actually ni PCB na M - au siku hizi some la hesabu alifundishwi tena kama subsidiary ukweli hakuna cha subsidiary wala nini unasoma hesabu kweli kweli.

Ushauri wangu ni kwamba si vigumu kusoma Physics, Chemistry na hesabau kwa kuwa masomo hayo yote yana formula i.e mathematical intensive save Organic Chemistry, kibembe kiko kwenye some la Biolojia, hilo mkuu unapashwa kusoma kama mtu anaye soma somo la Historia, nikukalili tu hakuna jinsi.

Ujikite sana kufanya mazoezi kwa kujibu maswali ya past papers, wana kawaida ya kurudia rudia maswali wanabadilisha kidogo hapa na pale lakini ukiangalia kwa makini na yale yale tu, don't you slack katika kufanya mazoezi mara kwa mara hasa somo la Biolojia, kitu kingine uwe makini sana kwenye somo la practicals za mwisho mwisho kabla hamjafanya mtihani wa mwisho, mara nyingi walimu huwa na kawaida ya kuwapa practicals ambazo wanajua zitakuwa kwenye mtiani wa mwisho i.e kumaliza form six lakini awambii sasa husipokuwa makini ukasepa kwenda kusikiliza miziki ya Bongo/Diamond utaharibikiwa - U have been warned mkuu so take care. Goodluck.
 
omba ushauri kuielewa PCB sio kufaulu, Angalia Movie ya Kihindi inaitwa 3 ------, itaku inspire sana,
 
Nitumie njia zipi ili nifaulu pcb vizuri(nisomaje,ratiba ya kujisomea ikaaje,nieleweje topics kiurahisi zaidi nk)
Kijana pcb c masomo ya lelemama hata wale vichwa sana nilazima wakomae ndo wanatoka..ushauri wangu kwa physics na chemistry licha ya kusoma na kuelewa solve maswali mengi kadili uwezavyo..hasa past papers hyo haitatosha tafuta sehemu.za tuition ambazo wanatoa test paper zenye standard ya necta.hzo piga nyingi kujipima pia kuiprove speed kwa mara nying unaweza ukawa.maswal unafamu but muda unakaba..ss biology ni msuli kwenda mbele ukiambata na kuelewa..al tha best
 
Mkuu PCB ni combination ambayo naiheshimu sana kutokana na kusoma karibu masomo yote ya sayansi, actually ni PCB na M - au siku hizi some la hesabu alifundishwi tena kama subsidiary ukweli hakuna cha subsidiary wala nini unasoma hesabu kweli kweli.

Ushauri wangu ni kwamba si vigumu kusoma Physics, Chemistry na hesabau kwa kuwa masomo hayo yote yana formula i.e mathematical intensive save Organic Chemistry, kibembe kiko kwenye some la Biolojia, hilo mkuu unapashwa kusoma kama mtu anaye soma somo la Historia, nikukalili tu hakuna jinsi.

Ujikite sana kufanya mazoezi kwa kujibu maswali ya past papers, wana kawaida ya kurudia rudia maswali wanabadilisha kidogo hapa na pale lakini ukiangalia kwa makini na yale yale tu, don't you slack katika kufanya mazoezi mara kwa mara hasa somo la Biolojia, kitu kingine uwe makini sana kwenye somo la practicals za mwisho mwisho kabla hamjafanya mtihani wa mwisho, mara nyingi walimu huwa na kawaida ya kuwapa practicals ambazo wanajua zitakuwa kwenye mtiani wa mwisho i.e kumaliza form six lakini awambii sasa husipokuwa makini ukasepa kwenda kusikiliza miziki ya Bongo/Diamond utaharibikiwa - U have been warned mkuu so take care. Goodluck.

M naomba nitoe shukrani kwa niaba ya muanzisha uzi huu, shukrani na ubarikiwe kwa kuwa na moyo kama huo, kiukweli umetoa bonge la semina Mkuu.
 
mambo siku hizi yamekuwa oversimplified mkuu ukiwa serious tu utafaulu vizuri kwani siku hizi kuna vitabu vinavyoeleweka kama biological science na vinginevyo. sisi enzi za mwalimu tulitumia vine and Reez vol 1 and 2 a.k.a mkate kwenye BIOS. Kwenye Pysice na B.A.M tulitumia Vifaa vya kizamani kama slide ruler na four figure table. Siku hizi mkuu mnaruhusiwa kutumia scientific calculator.Ni juhudi zako mkuu utafaulu tuu. Angalizo lazima ujikane mwenyewe na ukomae kwani uzembe kwenye hii kombi yaweza kubadilisha matokeo kutoka div.1 ya o level hadi 0 ya a level. CAVIAT EMPTUR ( buyer be aware)
 
Jamani ninawashukuru kwa ushauri wenu na mungu awabarikini sana
msichoke kutoa ushauri tunapouhitaji
endeleeni...
gd evn
 
Back
Top Bottom