Ntahandinkimuhila
Senior Member
- May 20, 2014
- 131
- 108
Kwanza umechagua chuo kipi cha kusoma?kati ya hivyo ulivyo pata.Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina π Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu.
Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha nne kama PC mwaka 2024 nikafaulu. Niliomba na nimepata nafasi ya kusoma kozi ya 'diploma in optometry' chuo cha binafsi.
Nilipata pia nafasi kusoma diploma in Electrical engineering DIT, diploma in mechanical engineering ATC na diploma in water engineering pale taasisi ya maji. Nimekosa mkopo na ndio niliotegemea ili unisaidie, mimi nijichange nimalizie kiasi kinachobakia. Ninahitaji sana kusoma, je nifanyeje kuupata ?
Mistake hiyo!! Ingebidi pale selection zimetoka u-confirm mapema Ili upate nafasi kubwa ya kupata mkopo...Sijapewa mkopo kwa sababu nina multiple selections labda mtu akiripoti chuo ndiyo anapewa mkopo ? Maana kuna msichana alihitimu kidato cha nne 2022 school candidate amepata na alichagua kozi moja tuu, akapata nafasi, Nipo njia panda ninaombeni Msaada wa ushauri au maelezo tafadhali π.
Ni hicho cha binafsi chenye kozi ya diploma in Optometry.Kwanza umechagua chuo kipi cha kusoma?kati ya hivyo ulivyo pata.
Wew endelea kuwa na subra lakn kuna atu ya kukata rufaa bado aijafika na pia kwan? Wamesa thibitisha zoezi la mkopo nilmesha kamilika wew kuwa nasubira tu.
Kwa sababu hiyo account yako imeshakifa kwenye sipa wew subiri batch 2 uangalie hapo kama utakuwa umepata na pia makama utakuwa umekosa. Basi subiri dirisha la rufaa ukate rufaa tu
Private candidate wanapewa wengi sana.. Kigumu Kuwa mvumilivu baado wanaendelea kupanga.Ni hicho cha binafsi chenye kozi ya diploma in Optometry.
Ahaaah sawa ngoja nisubiri, kwani wanatoa lini ?
Kitufe cha Appeal loan kikibonyezwa hakifunguki
Hapo kwenye SIPA mpaka nibonyeze sana vile vitufe vya kwenye akaunti, haifunguki moja kwa moja.
Ahaaah, asante kwa ushauri mzuri ndugu. Au private candidates hawapewi mkopo ?
Private candidate anapata mkopo vizuri kikubwa uwe nasifa ambazo zipo kwenye muongozo tu. Appeal loan bado mda wake ndugu yangu wew kuwa mtulivu tu.Ni hicho cha binafsi chenye kozi ya diploma in Optometry.
Ahaaah sawa ngoja nisubiri, kwani wanatoa lini ?
Kitufe cha Appeal loan kikibonyezwa hakifunguki
Hapo kwenye SIPA mpaka nibonyeze sana vile vitufe vya kwenye akaunti, haifunguki moja kwa moja.
Ahaaah, asante kwa ushauri mzuri ndugu. Au private candidates hawapewi mkopo ?
Kila la kheri kwake!
Hii nchi kuna vitu vinafanyiwa maamuzi bila kufikiria, mojawapo ya jambo hilo ni hili, lilifanyika kuongeza sifa kwa mtawala kwamba aliintroduce kitu hiki.Loan kwa Diploma naona kama ni story nyingi tu ila Output yake imekuwa yakukatisha sana Tamaa
Kama Degree tu wanahindwa kucover wale wanaostahili vip kuhusu Diploma!??
Huu ndio ukweli japo ni mchungu kwa wengi ni kama hawakujipanga sawasawa kuanza na hiliHii nchi kuna vitu vinafanyiwa maamuzi bila kufikiria, mojawapo ya jambo hilo ni hili, lilifanyika kuongeza sifa kwa mtawala kwamba aliintroduce kitu hiki.
So sad
Ahaaaah, sawa nitaendelea kusubiri nione. Vyuo nilishaconfirm VYOTE vinne nilivyochaguliwa mda mrefu kabla hata ya kutuma maombi ya kukopeshwa na wakuu HESLB.Private candidate wanapewa wengi sana.. Kigumu Kuwa mvumilivu baado wanaendelea kupanga.
Ila hakikisha ume-confirm chuo maana huwezi kupewa mkopo kama baado huja confirm chuo.
Oooooh kama wanapata sawa, sifa zipo. Oooooh kumbe muda wa kuappeal bado, vizuri. Nitafanya hivyo mkuu. Asante kwa ushauri mzuri.Private candidate anapata mkopo vizuri kikubwa uwe nasifa ambazo zipo kwenye muongozo tu. Appeal loan bado mda wake ndugu yangu wew kuwa mtulivu tu.
Chakufanya kuwa unafutilia account yako mara kwa mara na pia tembelea ukurasa wa @heslb Instagram na majukwa mengine.kwa taarifa nyingine na pia ikitoka hiyo ya pili hadi vyuo vya habari uwa wanatangaza .
Hivi haraka na panic ni kwasababu hujui hatma yako kama unapata ,au unakosa π .
Shukrani sanaKila la kheri kwake!
ππππ Umaskini wangu ni changamoto ndugu, ndio maana ninahaha. Shule ninaitaka sana ila Hela ya kulipia ni nyingi kweli SINA !!!!! Bila mkopo wa hawa ndugu wa HESLB sitafanikiwa kusoma.Private candidate anapata mkopo vizuri kikubwa uwe nasifa ambazo zipo kwenye muongozo tu. Appeal loan bado mda wake ndugu yangu wew kuwa mtulivu tu.
Chakufanya kuwa unafutilia account yako mara kwa mara na pia tembelea ukurasa wa @heslb Instagram na majukwa mengine.kwa taarifa nyingine na pia ikitoka hiyo ya pili hadi vyuo vya habari uwa wanatangaza .
Hivi haraka na panic ni kwasababu hujui hatma yako kama unapata ,au unakosa π .
Upande wa degree tu bado changamoto ni nyingi na hawajafanikiwa kuzitatua hata kwa asilimia 25% vijana wanasoma kwa tabu mikopo midogo then unasikia mtu anakuja na idea ya kuhamia diploma mbaya zaidi wakachagua na kozi, ufanisi huko sasa ni mdogo kuliko hata mategemeo.Huu ndio ukweli japo ni mchungu kwa wengi ni kama hawakujipanga sawasawa kuanza na hili
Utapata tuππππ Umaskini wangu ni changamoto ndugu, ndio maana ninahaha. Shule ninaitaka sana ila Hela ya kulipia ni nyingi kweli SINA !!!!! Bila mkopo wa hawa ndugu wa HESLB sitafanikiwa kusoma.
AminaUtapata tu