bob_fundi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2025
- 457
- 705
Kwan wew umedhibitisha chuo gan? Unatakiwa kudhibitisha chuo kimoja ndio utapata mkopo.Sijapewa mkopo kwa sababu nina multiple selections labda mtu akiripoti chuo ndiyo anapewa mkopo ? Maana kuna msichana alihitimu kidato cha nne 2022 school candidate amepata na alichagua kozi moja tuu, akapata nafasi, Nipo njia panda ninaombeni Msaada wa ushauri au maelezo tafadhali 🙏.
Kama bado ujadhibitisha basi wew unayofauti na mtu ambaye amekosa chuo. Na bila kupata chuo uwezi pewa mkopo watakuwekea wap? Huo mkopo