Kwan wew umedhibitisha chuo gan? Unatakiwa kudhibitisha chuo kimoja ndio utapata mkopo.Sijapewa mkopo kwa sababu nina multiple selections labda mtu akiripoti chuo ndiyo anapewa mkopo ? Maana kuna msichana alihitimu kidato cha nne 2022 school candidate amepata na alichagua kozi moja tuu, akapata nafasi, Nipo njia panda ninaombeni Msaada wa ushauri au maelezo tafadhali 🙏.
Kwan wew umedhibitisha chuo gan? Unatakiwa kudhibitisha chuo kimoja ndio utapata mkopo.
Kama bado ujadhibitisha basi wew unayofauti na mtu ambaye amekosa chuo. Na bila kupata chuo uwezi pewa mkopo watakuwekea wap? Huo mkopo
Duh!! Unanitia mashaka Mkuu, chuo huwa ni kimoja una- confirm kati ya vile ulivyo chaguliwa na huwezi uka- confirm chuo zaidi ya kimoja.Ahaaaah, sawa nitaendelea kusubiri nione. Vyuo nilishaconfirm VYOTE vinne nilivyochaguliwa mda mrefu kabla hata ya kutuma maombi ya kukopeshwa na wakuu HESLB.
Uwezi dhibitisha vyuo v 4 lazima udhibitishi chuo kimoja.wew unaweza kusoma vyuo vyote v4Nilithibitisha vyuo vinne vyote nilivyochaguliwa, tena nilituma HESLB kuwa nitaenda kozi mojawapo ya chuo kimoja. Kwa sababu sikuwa na uhakika nilithibitisha vyote nilivyokuwa nimechaguliwa kujiunga navyo, je ndiyo sababu sijapewa mkopo nilitakiwa nithibitishe chuo kimoja tuu au ?
Nina machungu sana na shule mkuu, ndiyo maana.Duh!! Unanitia mashaka Mkuu, chuo huwa ni kimoja una- confirm kati ya vile ulivyo chaguliwa na huwezi uka- confirm chuo zaidi ya kimoja.
Inaweza ikawa sababu ya kukosa mkopo.
Duh! Pole sana Kiongozi, Sasa hapo utaenda wapi Mkuu? Maana huwezi uki- confirm chuo zaidi ya kimoja, wewe uliwezaje? Maana uki- confirm chuo husika wanakupa admission letter na hiyo ndiyo itakufanya usajiliwe pindi ufikapo chuoni...Nina machungu sana na shule mkuu, ndiyo maana.
Poa kaka, Karibu.Ngoja nikucheki pm
Wametangaza batch ya pili vipi baado hujapangiwa?Poa kaka, Karibu.
Ndiyo, sijapata.Wametangaza batch ya pili vipi baado hujapangiwa?
Majibu yalishatoka kaka, ingia kwenye tovuti ya NACTVET uangalie matokeo ya uchaguzi wako kama umechaguliwa au hujachaguliwa.Jamani nauliza tu naomba nijibiwe vyuo vya kati kwa wanafunzi wanaosoma Diploma pharmacy wameanza kusoma? Nimefanya maombi tangu August lakini sifahamu majibu yalitoka au laaah