Ipananga kulwa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 573
- 293
chukua maji yasiyo ya baridi, kata kipande kimoja cha limau / ndimu kuamkia kwenye glas ya maji, kunywa kila cku asubuhi,, kabla hujala kitu chochote na ukae kwa angalau nusu saa kabla ya kula ili maji hayo yafanye kazi vizuri , maji ya limau/ huondoa hamu ya kula,, hivyo husaidia kupunguza za kula fanya hivyo mpaka upate matokeoMsaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka