Ushauri nifanyeje nipunguze unene na kitambi

Msaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka
chukua maji yasiyo ya baridi, kata kipande kimoja cha limau / ndimu kuamkia kwenye glas ya maji, kunywa kila cku asubuhi,, kabla hujala kitu chochote na ukae kwa angalau nusu saa kabla ya kula ili maji hayo yafanye kazi vizuri , maji ya limau/ huondoa hamu ya kula,, hivyo husaidia kupunguza za kula fanya hivyo mpaka upate matokeo
 
Kunyua maji ya moto asubui na usiku then stay away from all cold drinks such as beers. And soft drinks Napia usile ndizi mara kwamara pia ule chakula chamoto most of the time [emoji354] exercise in the morning

Mkuu naomba kujua kula ndizi kuna tatizo gani?
Je ndizi gani mbivu au mbichi zilizopikwa?
Tafadhali naomba ufafanuzi
 
Mkuu unene Ni nature ya mtu,wala usihangaike Na mazoezi utanenepa Mara 6 zaidi ya ulivyo. Cha msingi jikubali Na utumie unene wako Kama fursa
 
Mkuu unene Ni nature ya mtu,wala usihangaike Na mazoezi utanenepa Mara 6 zaidi ya ulivyo. Cha msingi jikubali Na utumie unene wako Kama fursa
Inawezekana maana hata mimi siku hizi nafanya mazoezi lakini pipo wanalalamika naongezeka sana
 
Thnx
 
Kunywa maji ya uvugu vugu yaliyochanganywa na unga wa mbegu za mlonge. Nakuhakikishia utapungua sana.

Kwa mahitaji ya unga wa mlonge,ni PM
 
Msaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka
Kwanini usifanye mazoezi mkuu?

Ni njia ya asili legit kabisa.

Ingawa nimeacha kuwajibu watu kuhusu maswali ya mazoezi ila wewe nitakujibu, kama upo maeneo ya Dar na unaweza kufika Makumbusho nitakupa hata partner wa mazoezi.

Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…