Ushauri: Nifanyeje niweze ku-save pesa

Ushauri: Nifanyeje niweze ku-save pesa

huwezi kusave bila kujua pesa yako huwa inapotolea wapi andika bajeti yako kwanza ukishajua bajeti yako ni rahisi kuanza kufanya saving
 
Naomba ushauri cha kufanya ili niweze kusave pesa zangu maana nikikamata milioni 1 ndani ya Wiki moja inaisha, mpaka najiona nina jini Makata fedha...😁😁😁
Punguza matumizi yasiyo ya lazima,kuwa na nidhamu ya pesa
 
1. Ndio nitoe......
Zaka
Fungu la 10
Sadaka
Adonai
N. K

Bado tu hela inabaki?

2. Halafu tena,
Kwanini nitoe kwa kuwapa wachungaji na sio yatima, wajane na wasiojiweza?

Huyo mchungaji kama mshahara hautoshi, si alime kama mimi?

#YNWA
Akilima nani atahubiri injili,kila mtu na wito wake acha roho ngumu toa zaka na sadaka
 
Back
Top Bottom