Wakuu habari za majukumu,
Nina kiasi cha milioni mbili na nusu, naomba ushauri wenu kati ya haya mawili
-Nina eneo kujenga chumba self kimoja cha standard ni milioni mbili na nusu, umeme, maji vyote vipo, kodi kwa mwezi elfu 50
-Niwe patner kwenye kampuni ya clearing and forwarding ambayo ndio kwanza inaanza
Naomba ushauri wenu