elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,464
Wakuu nipo katika hiyo dillema. Kusema kweli Mimi ni business oriented man.
I judge everything in terms of money, not how it makes my ego feel. Sasa Wizara ya Afya imenipangia Chato as Medical officer 2.
Wakati namaliza internship kuna boss is my friend akatokea kuniamini na akawa ananishirikisha mishe zake nyingi- He is a billionaire in Tanzania currency.
Amenisihi niachane na ajira kabisa na he is willing to Give me 70M bila riba lakini nifungue Kituo cha afya.
Jengo lipo tayari. Location ipo na ina population kubwa. Siyo mjini but ni very strategic location kwa hiyo investment.
Vipi nipige chini ajira niwekeze?
Boss anataka niwepo karibu nimsaidie na yeye anisaidie.
Kuna benefits nyingi sana, 1M kutembea nayo ni kama laki mfukoni.
Wakuu nifanye nini? Ushauri tafadhari