Ushauri: Nikaripoti Wizara ya Afya Chato Zonal Hospital au Milioni 70 nifungue health center yangu?



Vipi Mkuu Kituo cha Afya kinaendeleaje..

Kuna benefits nyingi sana, 1M kutembea nayo ni kama laki mfukoni.
Vipi mkuu Milion 1 Bado ni kama Laki Mfukon?
 
Hiyo 70m yupo tayari kuweka kwa account yako?

Embu aweke kwanza
 
Zote zina faida chagua kule moyo wako unataka.

Ingekuwa TAMISENGA ningekupa BIG NOOO!!

Kati ya Taasisi za kichovu za Serikali kufanya kazi TAMISENGA na ma underdog wake ndio kabisa.

Kwanza wanakutupa pori huko vumbi jekundu hata kama Chuo ulikuwa na first Class au upper second with honors.

Pili Utachezea ma TG.... mishahara ya laki laki wewe kuiona milioni hadi ule ugali dagaa miezi 3 mfululizo.

Tatu hakuna posho za overtime, ya nyumba, n.k

Seminar hadi uforce mambo na kama una bosi na ka boss Fulani Kako idarani pale kwa mkurugenzi katahakikisha kanakuchinjia NUNGWI [emoji28].

Huko bush utakakokuwa unaishi Via TAMISENGA life wanakijiji hatataka wakuone una kabiashara Fulani kwa kuongeza maokoto Sababu watasema "HOW COMES UKINGE MSHAHARA HALAFU UTUPULUSE NA VISENTI VYETU"

wanaweza kuku bewitch.
 
Watu wa biashara wa kiukweli sio rahisi hata ku-apply hiyo kazi ya medical officer. Pia mtu wa baishara hadi muda huu angeshahakikisha kuwa kweli hiyo 70m ipo au ni janja ya tajiri? WEWE SIO MTU WA BIASHARA. Inaonekana unafit zaidi ukisimamiwa kwenye kazi ndo maana nahisi tajiri kaona akifungua hiyo biashara utamfaa kuiendesha chini ya usimamizi wake. Mimi sikushauri chochote zaidi ya kukutakia kila la heri kwenye uamuzi wako wowote.
 
Kama wewe ni medical personnel na hujui kutofautisha kati ya health center na dispensary, inasikitisha sana.
 
Hahaha mkuu una ongea kwa experience nini, mana umechora ramani nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…