Ushauri: Nikifanya mapenzi presha hupanda sana, nini tatazo?

Wadada wengi wana hili tatizo. Jaribu kucheki afya yako, yaweza ukawa na shambulio la moyo au magonjwa mengine bila kujua. Jitahidi ufanye body checkup. Pia muwe wawazi kwa wenza, huwa mnatukwaza sn mechi inaanza au imefika kati mara mtu presha imepanda hajiwezi.
 
Ndio lile penzi ulilotaka kumpa ndio linakupa na pressure?!
 
Kifafa cha ngono kinakunyemelea.[emoji119]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Amanda cute,sijawai kuona post yako nje ya ngono,labda kwakuwa sijakufatilia sana,ila nachokuomba punguza ngono maana ndio imekupelekea presha,inaonekana sio kwa hamu bali ni dozi.
 
Mwanaume machine ss hayo ndio matokeo yake usilalamike sana,mara ulalamike wanaume wamekuwa wavivu kitandan ss tukusaidiaje?

Pambana na hali yako mamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badilisha mwanamke kaka itakuwa huyo unayegonoka nae ana mashetani ambayo hayakutaki maana unawanukisha SHOMBO sasa weka Kipoozeo(king'asti) kipya iyo ni mosi

Mbili, usizini tena kaka utakuja ufie ktk kifua cha manzi alafu "uaibike" itakuwa unashida ya moyo ww sasa usipowahi hospital utakuja dead

Tatu,usizin na wake za watu utarogwa bro!!!

Tat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali hiyo hutokea muda gani:-
.Wakati wa maandalizi?
.Kabla ya orgasm?
.During orgasm?
.Au baada ya shughuli yote?

Na je,umeshawahi kupima BP ukiwa upo hali ya kawaida?,na kama ulishapima majibu yalikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukae makini utakufa..!
 
Amanda cute,sijawai kuona post yako nje ya ngono,labda kwakuwa sijakufatilia sana,ila nachokuomba punguza ngono maana ndio imekupelekea presha,inaonekana sio kwa hamu bali ni dozi.

kama huku ni sawa

ila kapost kwenye habari mchanganyiko au siasa hapo kakosea
 
Siku si nyingi mkuu pumzi itakata juu ya mbunye ushauri acha ngono okoka umtumikie Mungu kwa msaada wa maombi na ushauri karibu pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…