Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ana High Pressure unamshauri apige pushup?!! Utamuwa mwenzio. Hilo zoezi damu inaenda kwa kasi na mapigo ya moyo yanazidi. Yeye afanye kama gogo tu, jamaa yake ndio apige kazi ya jasho.
Tazama avatar hiyoPole sana...
Kiumbo upoje? Mnene sana au?
Je una shiriki style hatarishi kwa muda mrefu?
Mwenza wako ni bonge sana? Kama ndiyo je anakuminya kwa muda mrefu au?
Cc: mahondaw
Badilisha mwanamke kaka itakuwa huyo unayegonoka nae ana mashetani ambayo hayakutaki maana unawanukisha SHOMBO sasa weka Kipoozeo(king'asti) kipya iyo ni mosiNahitaji ushauri kwa wataalam wale waliopo huku.. nilikua sijajua hili tatizo ila limenikuta sikujua why.. Siku za nyuma nilikua nikingonoka nilikua napatwa na hali isiyo kawaida hutokwa Na jasho Sana kichwani Na pia kichwa huanza kuniuma badaye hujisikia sehemu ya mgongo kuniuma Sana Na kuishiwa nguvu nilijaribu kuomba ushauri nikaambiwa mybe ni uchomvu tuu ila hali imezidi juzi nikiwa faragha napata vyangu hali ilinitokea ghafla hvyo hvyo nilipowahi hospital nilipimwa BP nikakuta ipo 140/80 hii hali imeniongezea waswas nisijue tatizo ni nini nilikua naomba ushauri hili linachangiwa na nini? Na kwa hii BP je ipo juu sana na je itaweza nisababishia kiharusi nikiendelea kungonoka? ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukae makini utakufa..!Nahitaji ushauri kwa wataalam wale waliopo huku.. nilikua sijajua hili tatizo ila limenikuta sikujua why.. Siku za nyuma nilikua nikingonoka nilikua napatwa na hali isiyo kawaida hutokwa Na jasho Sana kichwani Na pia kichwa huanza kuniuma badaye hujisikia sehemu ya mgongo kuniuma Sana Na kuishiwa nguvu nilijaribu kuomba ushauri nikaambiwa mybe ni uchomvu tuu ila hali imezidi juzi nikiwa faragha napata vyangu hali ilinitokea ghafla hvyo hvyo nilipowahi hospital nilipimwa BP nikakuta ipo 140/80 hii hali imeniongezea waswas nisijue tatizo ni nini nilikua naomba ushauri hili linachangiwa na nini? Na kwa hii BP je ipo juu sana na je itaweza nisababishia kiharusi nikiendelea kungonoka? ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Amanda cute,sijawai kuona post yako nje ya ngono,labda kwakuwa sijakufatilia sana,ila nachokuomba punguza ngono maana ndio imekupelekea presha,inaonekana sio kwa hamu bali ni dozi.
Alaaa kumbe, sikujua. Basi Yawezekana jamaa ana MGUU WA MTOTO...huyu mwanamke