Ushauri: Nikifanya mapenzi presha hupanda sana, nini tatazo?

Dawa ni Ndogo tu
Acha ngono kabsa

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Mbona pressure ya kawaida sana hiyo. Wasiwasi wako tu.
Fanya mazoezi ya viungo mara kwa mara utakaa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kawaida wakati wa kungonoka mapigo ya moyo huongezeka pamoja na msukumo wa damu.


Jitahidi kunywa maji ya kutosha kabla ya tendo
 
Acha kusimamia vidole
 
Nenda hospital kwa uchunguzi zaidi usiogope kumwambia doc kila kitu kama ulivyoeleza hapa ili akusaidie. Mficha maradhi kifo humuumbua
 

Hii presha ni normal tu, utakuwa ni uchovu tu
 
Mkuu ,Normal pressure ni 115/70 mpaka 130/90

Achana na Google, nakusisitiza hiyo presha ni normal. Ukitaka ufafanuzi zaidi muone Daktari wa moyo au physician akueleweshe.

Ila hypertension haina direct translation kama hiyo na kwa sasa WHO wametoa new guideline.
Sasa 140/80 haiwezi kuwa presha kupanda sana
Napata tu uvivu kuandika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…