Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona pressure ya kawaida sana hiyo. Wasiwasi wako tu.Nahitaji ushauri kwa wataalam wale waliopo huku.. nilikua sijajua hili tatizo ila limenikuta sikujua why.. Siku za nyuma nilikua nikingonoka nilikua napatwa na hali isiyo kawaida hutokwa Na jasho Sana kichwani Na pia kichwa huanza kuniuma badaye hujisikia sehemu ya mgongo kuniuma Sana Na kuishiwa nguvu nilijaribu kuomba ushauri nikaambiwa mybe ni uchomvu tuu ila hali imezidi juzi nikiwa faragha napata vyangu hali ilinitokea ghafla hvyo hvyo nilipowahi hospital nilipimwa BP nikakuta ipo 140/80 hii hali imeniongezea waswas nisijue tatizo ni nini nilikua naomba ushauri hili linachangiwa na nini? Na kwa hii BP je ipo juu sana na je itaweza nisababishia kiharusi nikiendelea kungonoka? ...
Sent using Jamii Forums mobile app
ASANTE MKUUHiyo ni kawaida wakati wa kungonoka mapigo ya moyo huongezeka pamoja na msukumo wa damu.
Jitahidi kunywa maji ya kutosha kabla ya tendo
Acha kusimamia vidoleNahitaji ushauri kwa wataalam wale waliopo huku.. nilikua sijajua hili tatizo ila limenikuta sikujua why.. Siku za nyuma nilikua nikingonoka nilikua napatwa na hali isiyo kawaida hutokwa Na jasho Sana kichwani Na pia kichwa huanza kuniuma badaye hujisikia sehemu ya mgongo kuniuma Sana Na kuishiwa nguvu nilijaribu kuomba ushauri nikaambiwa mybe ni uchomvu tuu ila hali imezidi juzi nikiwa faragha napata vyangu hali ilinitokea ghafla hvyo hvyo nilipowahi hospital nilipimwa BP nikakuta ipo 140/80 hii hali imeniongezea waswas nisijue tatizo ni nini nilikua naomba ushauri hili linachangiwa na nini? Na kwa hii BP je ipo juu sana na je itaweza nisababishia kiharusi nikiendelea kungonoka? ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji ushauri kwa wataalam wale waliopo huku,
Nilikua sijajua hili tatizo ila limenikuta sikujua kwanini. Siku za nyuma nilikua nikingonoka nilikua napatwa na hali isiyo kawaida hutokwa na jasho sana kichwani na pia kichwa huanza kuniuma baadae hujisikia sehemu ya mgongo kuniuma sana na kuishiwa nguvu.
Nilijaribu kuomba ushauri nikaambiwa labda ni uchomvu tuu ila hali imezidi juzi nikiwa faragha napata vyangu hali ilinitokea ghafla hivyo hivyo nilipowahi hospitali nilipimwa BP nikakuta ipo 140/80.
Hii hali imeniongezea wasiwasi nisijue tatizo ni nini, nilikua naomba ushauri hili linachangiwa na nini? Na kwa hii BP je ipo juu sana na je itaweza nisababishia kiharusi nikiendelea kungonoka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii presha ni normal tu, utakuwa ni uchovu tu
Mkuu ,Normal pressure ni 115/70 mpaka 130/90