Zingatia ulaji wako kula vizuri a well balanced diet fanya mazoezi inavyoshauriwasijawahi kujichua mkuu
Tafuta demu mwingine ujaribu kama itakuwaje kisha lete mrejesho. Mimi ilishanitokeaga nikatafuta mpango wa dharura nilipiga usiku kucha mnara wala haushuki wala sikumbuki idadi ya magoli maana nilishindwa kuhesabu.Jamani nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga gori moja tu tu uume unalala na unachelewa kuamuka dah nahaibika mwenzenu ushauri wenu nanukuu anavyonambiaga Oh wewe so bure mala Oh wewe kama umenichoka nambie mi nataka bado mwisho wa kunukuu dah najikuta mpaka nataka nijingize kwenye vishawiahi vya kutumia madawa dah ili tatizo nalotatuaje ushauri wenu wana JF
Duuuh hii inaweza ikawa dar inatokea sanakwani bao ngapi zinatakiwa ndo ulale? mimi najua bao moja tu kitu kinalala . ndo hivo naonaga kote nilikopitia
kwani bao ngapi zinatakiwa ndo ulale? mimi najua bao moja tu kitu kinalala . ndo hivo naonaga kote nilikopitia
Usijichoshe hilo moja linatosha
Haha ale papuchi kwa afya asijitesejamaa anataka atoe hadi upepo.. .....
Nina wiki mbili sasa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu najishanga nikimpiga goli moja tu uume unalala na unachelewa kusimama.
Nanukuu anavyonambia ''wewe sio bure, mara wewe kama umenichoka niambie mi nataka bado'' mwisho wa kunukuu.
Najikuta mpaka nataka nijiingize kwenye vishawiahi vya kutumia madawa ili tatizo nalitatuaje, ushauri wenu wana JF.