Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

heb fanya kunitag kwenye huo uzi wako
 
Zingatia ulaji wako kula vizuri a well balanced diet fanya mazoezi inavyoshauriwa
Na akumbuke kula na kulala mapema pia maana watu kuamka asubuhi kwenda kazini unarudi saa 11 unaingia kitaa mpaa saa 3 ama 4 ndo unakula mwisho wa siku kufikia saa 5 ndio unataka kulala na kuomba game wakati huo huo mwili unahitaji kupumzika na wakati huo mwili upo kwenye process ya kukitumia kile chakula inaanza.
 
Hii ni nzuri zaidi kwa yule ambae hatumii condom maana wakati mwingine condom huharibu mambo , unakuta wazungu wametoka lakini kitu bado kigumu, at the time unataka kuibadilisha kitu kinasinyaa
 
Fanya mazoez mkuu yale utayohakikisha yanakutoa jasho sanaa, hyo n k ufup tu yatakusaidia na pia andaa akil yako kwake kabla haujampanda na mueleze na yeye anatakiwa asichoke kukuandaa hata ukitema ilo moja naiman kama atachukua hatua ya kukutia hamu tena kwa kaul nzur za mah*b na michezo furan mbona Mkuu Mambo yatakua poa tu! Anakosea anapokusemanga iv coz hata k akil anakuaribu.
 
Haha ni kweli kabisa
 
kwani unataka uwahi unakimbizwa relax ww sex sio ugomvi au umenunua huyo
 
mkuu punguza kula chips maana chips zimewaathiri mno wanaume wengi wa dar
 
Gudume tupe somo kaka mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…