Ushauri: Nikipiga goli moja uume unachelewa kusimama

Hilo somo sikulipata,naomba ulirudie tafadhali
 
Uume kulala baada ya kupiga goli kifiziologia ni kitu cha kawaida. Kitaalamu inaitwa "Refractory period", kipindi hiki kinatofautiana kati ya mtu na mtu, inaweza kuchukua dakika kadhaa au hata siku kadhaa. Umri, lishe mbovu, kukosa mazoezi, maradhi na vitu vingine vingi tu, vinaweza kuchangia huu muda kuwa mrefu.

Kifizilojia homoni ya OXYTOCIN huwa inakuwa nyingi sana pale sisi wa jinsia ya me tunapopiga goli, na uchunguzi unaonyesha ya kuwa kiwango kikubwa cha oxytocin kinaathiri hii kinzani kipindi (REFRACTORY PERIOD), oxytocin nyingi=refractory period ndefu..

Kemikali nyingine inayoathiri kinzani kipindi (refractory period) ni PROLACTIN, ambayo huwa inakandamiza uwepo wa kemikali ya DOPAMINE, kemikali ya DOPAMINE ni muhimu sana katika kuamsha ashiki na nyege. Wafamakolojia na wanabiokemia wanaangalia uwezekano wa kutumia dawa ya CARBEGOLINE (DOSTINEX, CARBESER), CARBEGOLINE inazuia uwepo wa PROLACTIN wakati goli likifungwa, hivyo kufanya DOPAMINE iwe nyingi ya kumwaga tu na matokeao yake ni kwamba hamu ya kugegeda itaendelea kuwepo na uume hautalala. Kwa bahati mbaya Carbegoline ina madhara mengi sana tu.

Wenzetu wa jinsia ya KE wengi wao hawana hii refractory period, ndio maana wanaweza kuwa na "multiple orgasms" (back to back), ila wengine huwa wanajisikia SENSITIVE sana kwenye clitoris mara tu baada ya kupata orgasm.

Cha maana wewe fanya tizi, angalia lishe yako, na usiwe na pressure, halafu kumbuka usiendekeze ngono zembe.
 
Ukipigaa Goli nenda kanawee na maji ya baridi alafu urudi...!! Huwa inasaidia sanaaaa... Jaribu
 
TATIZO BAO LA KWANZA UNAENDA NALO KWA PUPA, WAKATI HLO LA KWANZA UKILIFANYA KWA UTULIVU, DEMU ANAWEZA KUFKA MARA 1 WEWE MARA MOJA, NA HAOMBI TENA.. PUNGUZA UCHU KWENYE BAO LA KWANZA..

SMTMZ NI TATZO LA KISAIKOLOJIA TU..
 
Ni kawaida hyo. ILa Fanya hivi, ukitua cha kwanza nenda kaoge ukirudi unakuwa mpya na ikiwezekana huyo Demu aku- suck ndani ya dakika 0 tu kitu hichoooooooo
 
ila kuna wanawake wengine wanachangia uume kulala baada ya goli 1na usisimame tena fikiria unaduu na mwanamke ambaye ukiingiza mashine ile unachomoa tu mashine inaonekana as if uliingiza kwenye kibuyu cha maziwa mgando
 
Kikubwa ni kujitengenezea ki saikologia tu, tatizo hapo wewe unawahi kumaliza kabla yake, hivyo unamwacha hewani. chukulia game kama kitu chako cha kawaida, ni mchezo wako unaweza kuucheza unavyotaka, ondoa akilini wazo la kumwaga, hapo naamini ni yeye ndio atakukumbusha kumwaga, na hilo moja tu litamtosha.
 
ila kuna wanawake wengine wanachangia uume kulala baada ya goli 1na usisimame tena fikiria unaduu na mwanamke ambaye ukiingiza mashine ile unachomoa tu mashine inaonekana as if uliingiza kwenye kibuyu cha maziwa mgando
Eti kibuyu cha maziwa mgando[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kwa sauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Punguza au Acha kabisa vyakula vya Wanga na sukari kula sana mboga mboga na matunda, pia tumia unga wa mlonge hata mara moja kwa siku

Mimi niliwahi kuwa na tatzo hilo mbinu hiyo ilinisaidia
 
achana kabisa na kipe yai,geukia ugali wa dona mboga za majani na nyama choma...
 
po
kwani bao ngapi zinatakiwa ndo ulale? mimi najua bao moja tu kitu kinalala . ndo hivo naonaga kote nilikopitia
pole so na wewe huwa unapewa kamoja tu unaridhika na tako lote hilo...
 
Anhalia kichwani yamkini una mambo kibao yanakuvuruga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…