Ushauri: Nile nini ili ninenepe?

Kula vyakula vyenye mafuta kwa wingi mfano kiti moto na nyama nyingine zenye mafuta mfano nundu.Pia piga mayonaize kwa sana.Ukiona imeshindikana piga vidonge vya mchina.But all in in all nimekushangaa sana sijui wewe unatoka dunia ipi.Yaani watu wanapambana wapungue eti wewe unataka kunenepa du
 
 
mimi nipo rafiki
kweli unisake mimi wakati unajua pa kunipata
sijaona rangi nyekundu ikiniita
karibu pale kijiweni huwa nakuwepo muda mwingi.

natamani sana kusikia kutoka kwako rafiki.


Niambie rafiki upo afadhali nimekukuta hapa nakusaka kama pesa
 
 
nakushauri ubakie hivyo hivyo tu, ukishanenepa ukaona kuwa ulikosea step,ni ngumu sana kurudi kuwa mwembamba.

Nyama iwe kitimotosss afu supu sana usisahau mlo wako uhusishe vyakula vyenye mafuta na vinywaji vyenye sukari hapo lazina uwe kibonge ndani ya muda mfupi sana. Onyo usirudi hapa kuomba ushauri jinsi ya kukonda.
 
pamoja na vyakula vyote ulivyo ambiwa ule ni vyema ukapata kirutubisho lishe ambacho kinasaidia kufyonza virutubisho vyote muhimu vinavyotakiwa ili kuboresha na kuupa mwili nguvu. Kama kweli utahitaji kirutubisho hicho ni PM nitakuelekeza.
 
Kunywa ndoo moja ya lita 20 za mafuta utanenepa ndugu
 
Nilikua mwembamba (65kg) nikawa natamani unene nikanenepa (89) nikaona shida tupu sa hv najipunguza (i am 84 now) maana kitambi kilikua kimenikumbuka na ufanisi ukaanza kupotea....
Unene ni ugonjwa ndugu angalia urefu wako na uzito wako km vnaendana ukiona vnatosha maintain ukiona bmi ni ndogo ongezeka na km imezid jipunguze
 



We ulitumia nini. Ulikula vyakula gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…