Jamani nataka ninenepe nile nini?
Nilikua mwembamba (65kg) nikawa natamani unene nikanenepa (89) nikaona shida tupu sa hv najipunguza (i am 84 now) maana kitambi kilikua kimenikumbuka na ufanisi ukaanza kupotea....
Unene ni ugonjwa ndugu angalia urefu wako na uzito wako km vnaendana ukiona vnatosha maintain ukiona bmi ni ndogo ongezeka na km imezid jipunguze
mi nina futi tano na inch tatu uzito wa kilo 55 je vinaendana hata mi natamani kuwa bonge lol
Una uhakika na ukitakacho????!!!mi nina futi tano na inch tatu uzito wa kilo 55 je vinaendana hata mi natamani kuwa bonge lol
Una uhakika na ukitakacho????!!!
We normal kabsa BMI 20.16 ila ukipungua hata kg 1 upo underweight... We una haki ya kuongezekami nina futi tano na inch tatu uzito wa kilo 55 je vinaendana hata mi natamani kuwa bonge lol
We ulitumia nini. Ulikula vyakula gani
Kula ManiiJamani nataka ninenepe nile nini?
Kula Manii
kuwa unachemsha mafuta ya kupikia kila cku unakunywa lita moja. ila ujue unene ni presha tu
Mimi nina kg 75 nataka nipige 82
ila zinaongezeka kwa kasi ndogo sana
napiga mazoezi sana,nakimbia km 5 kila siku naenda jim kila weekend
pia nakula chakula,ila nahisi nakosea kwenye msosi
Kunywa ndoo moja ya lita 20 za mafuta utanenepa ndugu
Kama BMI yako ni nzuri huna haja ya kuongeza uzito ,jikubali na ujifurahie,Pima Body mass index (uzito wako in kg gawa kwa urefu wako ) check online for the formula hapa nashindwa kuiandika vizuri
kama ur underweight kula carbohydrate na vyakula vya mafuta kwa wingi ,pia achana na stress za ajabu ajabu,take it easy utagain tu...
ila ndo ujihadhari vitambi nk