Ushauri: Nilikuwa na uhusiano na single mother, sasa kanizalia mtoto, je nimuoe awe mke wa pili?

Mkeo anasemaje? Yeye ndio wa kumuuliza sio wana JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza namim nipo kwenye mahusiano na singo maza mbaya sina mpango wa kuzaa nae mtoto au kumuoa unanishaurije?
 
Tatzo huwa ni ndugu ndo wanapga vita sana kuwaoa hawa single maza
 
Kaa hapo hapo njia panda nakuja kukupitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…