Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Mfanye huyo single mom awe dada yako wa hiyariWadau kama heading inavyoeleza, mimi kuna kipindi nilikuwa na mahusiano na single mother kabla sijaoa, ambaye amefankiwa kunizalia mtoto.
Baadae kidogo nikaoa msichana mdogo ambaye ndo mke wangu wa maisha.
Nimekaa natafakari kuwa huyu single maza namwachaje? Je, nimuoe awe mke mdogo?
Nipo njia panda wadau, ushauri wenu ni muhimu sana.
Karibuni sana wadau.