Ushauri: Niliyemdhamini katoroka, sasa nimefunguliwa kesi mahakamani



Nenda kifua mbele hawawezi kukufanya kitu ila Kama unayosema ni ukweli, utalipa hata buku buku kwa mwezi!

Anakutisha tu na mahakama, Hakuna wauwaji kule!

Ingawa sielewi:

1. Unachukuliaje mtu mkopo?
2. Umeweka Dhamana vitu vyako?
 
Wakati wa kukopa watu wanakuwa na adabu zote
Wakati wa kulipa, wanageuka wasumbufu, jeuri,kburi na kutafuta kuzijua sharia za mikopo!

Hizi mambo ndio maana kwenda kukopa kwa watu wa mabenki uwe umejipanga.
 
Mtu akishindwa kulipa deni dhamana kama vile nyumba, gari vinachukuliwa.
Hapo dhamana ni wewe, wapo sahihi kukuchukua
 
Lipa deni si ulikopa wewe mambo ya mdhamini mbona hayapo
Nina uhakika hao ni wakopeshaji wa mtaani ambao hawana hata kibali.
Mwambie umlipe taratibu au naye akutane na mkono wa BOT
 
Wewe ndo uliyekopa, hivyo Fanya ulipe tu Mzee. Umekosea timing.
 
Pole sana. Je huyo aliyewakopesha amesajiliwa na BOT?
Hivi mkuu ukinifata mm individually nikukopeshe na nikakukopesha Kwa makubaliano yetu, ukinizingua siwezi kukupeleka mahakamani kisa sina kibali cha BOT?
 
Hivi mkuu ukinifata mm individually nikukopeshe na nikakukopesha Kwa makubaliano yetu, ukinizingua siwezi kukupeleka mahakamani kisa sina kibali cha BOT?
Ndio huwezi kwa mujibu wa tangazo la BOT
 
Ujinga mwingine. Unakopa ili umkopeshe mwingine? Huijui dunia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…