nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,903
Habari..
Nimeamua niwe winga wa kuuza vitu online kariakoo.
Yaani mimi niwe napost kwa mitandao kutafuta wateja halfu nauza kwa bei ya Jumla.
Swali langu ni..
1.Je ni Sehemu ipi kama nikikomaa ninaweza kutoboa...(Mavazi , Electronic Equipment)
Na Naombeni Hint za muhimu wakuu.
Habari..
Nimeamua niwe winga wa kuuza vitu online kariakoo...
Asante sana mkuuElectronic nahisi inaweza kuwa vizuri zaidi
Naomba unielekeze kupotea Hapo panakuaje mkuuNenda aggrey hapo utatoboa ila kumbuka wakati unatoboa kuna kupotea
Asante sana kwa ushauri mkuu.....Mavazi kwa wanawake kwa sana wanaonunua hao daily then changanya hata na perfume ...we post tu wakitaka unaenda wapiga cha juu.
Ila naona kuuza simu wengi wamebase haswa washkaji wengine mpaka wameoa na dili izo naona itakuwa inalipa sana yaani 99% ni kupost simu na magari kwa mbali.. ila simu naona zimeshika hatamu sana hope wanapiga pesa kwa sana.
Sisemi ππHabari..
Nimeamua niwe winga wa kuuza vitu online kariakoo.
Yaani mimi niwe napost kwa mitandao kutafuta wateja halfu nauza kwa bei ya Jumla.
Swali langu ni..
1.Je ni Sehemu ipi kama nikikomaa ninaweza kutoboa...(Mavazi , Electronic Equipment,Urembo perfume na Jewelry)
Na Naombeni Hint za muhimu wakuu.
Mkuu kila mtu ashinde mechi zakeUsije dukani kwangu kwa mazoea unachukua nguo moja unamuuzia mteja elfu 30, una force kulipia elfu 15 ya Bei ya jumla kwa nguo moja. Hakuna Bei ya jumla kwa nguo moja. .
Mteja akifikia elfu 20 huuzi kwa sababu kwako haina maslai Ila kwangu yapo na ndio Bei ya rejareja. Kwa kuwa nauza elfu 20 rejareja usilazimishe Kisa umekuja na mteja kafika Bei ya chini unataka kilipwa wakati kwa Bei ya elfu 20 ukitoa elfu mbili ya Kodi duka linaingiza elfu 3. Kwa faida ya elfu 3 ni ndogo Ila wewe unaona ni utajiri kwa sababu namiliki duka. .
Ukija na mteja dukani kwangu ukiuza nguo hata Kama elfu 50, ujue naweza kukupa elfu 25 nikakata elfu 25 yangu kwa sababu unajua nauza nguo elfu 20 Bei ya rejareja ukalazimisha nichukue elfu 20. Ukumbuke nguo ikiwa na shida mteja atarudi dukani kwangu kuibadilish na natoa risiti. .
Ila mawinga ni waaribu biashara Sana. Bei wanafanya kubwa Sana kiasi Cha kufukuza wateja. Mda mwingine huwa wanasubiri wateja nje ya duka lako, Kama wapiga debe. .
Serikali ya Tanzania natoa rai muwafinge madalali ndio waanaofanya uharibifu wa biashara. Unakuta mda mwingine wanafanya bidhaa zisinunuliwe kuanzia kilimo mpaka serikalini huko wanajofanya wanauza tenda Kama za baba yako. Fucyk em. .
Umeongea kwa hasira sana mkuu. Ila hakuna namna ndo maisha menyewe.Usije dukani kwangu kwa mazoea unachukua nguo moja unamuuzia mteja elfu 30, una force kulipia elfu 15 ya Bei ya jumla kwa nguo moja. Hakuna Bei ya jumla kwa nguo moja. .
Mteja akifikia elfu 20 huuzi kwa sababu kwako haina maslai Ila kwangu yapo na ndio Bei ya rejareja. Kwa kuwa nauza elfu 20 rejareja usilazimishe Kisa umekuja na mteja kafika Bei ya chini unataka kilipwa wakati kwa Bei ya elfu 20 ukitoa elfu mbili ya Kodi duka linaingiza elfu 3. Kwa faida ya elfu 3 ni ndogo Ila wewe unaona ni utajiri kwa sababu namiliki duka. .
Ukija na mteja dukani kwangu ukiuza nguo hata Kama elfu 50, ujue naweza kukupa elfu 25 nikakata elfu 25 yangu kwa sababu unajua nauza nguo elfu 20 Bei ya rejareja ukalazimisha nichukue elfu 20. Ukumbuke nguo ikiwa na shida mteja atarudi dukani kwangu kuibadilish na natoa risiti. .
Ila mawinga ni waaribu biashara Sana. Bei wanafanya kubwa Sana kiasi Cha kufukuza wateja. Mda mwingine huwa wanasubiri wateja nje ya duka lako, Kama wapiga debe. .
Serikali ya Tanzania natoa rai muwafinge madalali ndio waanaofanya uharibifu wa biashara. Unakuta mda mwingine wanafanya bidhaa zisinunuliwe kuanzia kilimo mpaka serikalini huko wanajofanya wanauza tenda Kama za baba yako. Fucyk em. .
MenyeweUmeongea kwa hasira sana mkuu. Ila hakuna namna ndo maisha menyewe.
Yenyewe.πππMenyewe